Articles by "Advertise"
Showing posts with label Advertise. Show all posts


Kuanzia tarehe 8/4-14/4 2019 simu za Infinix zitakuwa katika punguzo la bei kupitia soko la mtandaoni lifahamikalo kama Jumia na punguzo hili kufanyika kwa wiki moja ya JUMIA MOBILE WEEK. JUMIA MOBILE WEEK ni wiki madhubuti kwajili ya kuuza simu kwa bei ya punguzo, na safari hii simu za Infinix ikiwamo Infinix ZERO 6 na Infinix HOT 7 ni miongoni mwa simu zitakazopatikana kwa bei ya punguzo. Jumia mobile week imeanza rasmi tarehe 8/4-14/4 2019.
Infinix Mobile Tanzania inatumia nafasi hii kuingiza simu za Infinix katika JUMIA MOBILE WEEK ikiwamo simu zilizoingia sokoni mwishoni mwa mwezi wa tatu kwa dhumuni la kufanya kila mtanzania aweze kuhamia katika ulimwengu wa kidijitali, ulimwengu unaoaminika kuwa suluhisho hata kwa yale yanavyoshindikana kufanyika kwa muda mfupi. 
Na ukiondoa matumizi ya simu kuwa kwajili ya mawasiliano tu lakini Infinix inatambua umuhimu wa simu hasa kwa matumizi ya kujiongezea kipata mfano Infinix ZERO 6 kupitia uwezo wake wa kamera unapata picha sasa hii kuwa ni chombo cha biashara.  sifa kuu ya Infinix ZERO 6 ni kamera, Infinix ZERO 6 imewekwa nguvu nyingi upande wa kamera  nyuma ikiwa na MP 12+MP 24 zenye kupiga picha/picha jongefu na mng’ao  wa hali ya juu sana, na kamera ya mbele ni MP 20. Katika kuhakikisha Infinix ZERO 6 inakupa picha yenye uhalisia ya mazingira husika ndipo teknolojia ya Artifficial Intelligence inapofanya kazi yake.Kwa asilimia 100% Infinix ni kampuni yenye kujali wateja wake pamoja yakuwa Infinix HOT7 inapatikana kwa bei chee katika maduka ya Infinix lakini bado ni miongoni mwa simu zilizopo katika jumia mobile week. Infinix HOT 7 inasifika kwa kupiga muziki mzuri na hii ni kutoka na DIRAC MODE iliyopo ndani ya Infinix HOT 7. 
Na kwa simu yoyote ya Infinix utakayonunua ndani ya mobile week itakuwa na warranty ya mwaka mmoja. 

Baada ya kupata zawadi ya uhai kwenye siku yake ya kuzaliwa, Emiliana Sospeter Kongola amezadiwa zawadi nyingine na siku yake hiyo maalum kwa kushinda Laki Tano kutoka MojaSpesho.

Emiliana (21), mkazi wa Vingunguti, Dar es Salaam alianza kucheza MojaSpesho wiki nne zilizopita na juzi alifanikwa kutoboa ushindi baada ya kucheza namba 3 za bahati ambazo alizitengeneza kutoka katika siku yake ya kuzaliwa.

“Nilivyopigiwa simu sikuamini, nilijua ni matapeli wa mjini. Lakini wakanielezea vizuri na kunambia namna ya kupata pesa yangu niliyoshinda. Na sasa nimeupata ndo nimeamini.” ameeleza Emiliana.

Nawe pia unaweza kuwa mshindi kila siku na jackpot ya kila wiki. Jinsi ya kucheza Mojaspesho ni rahisi
1. Nenda kwenye menu yako ya #Mpesa, #TigoPesa, #AirtelMoney au #Halopesa;
2. Chagua lipia bili
3. Ingiza kampuni namba 123255
4. Ingiza kumbukumbu namba zako 3 za bahati zikifuatiwa na neno SEE mf. 123SEE
5. Weka kiasi kuanzia sh 1000 na utakua umecheza #Mojaspesho.

Hassan Hassan (23), Mkazi wa Pugu, Dar es Salaam ni mshindi wa Shilingi Laki 5 kupitia MojaSpesho, ambaye amebainisha kuwa alianza kucheza siku nne zilizopita, na siku zote hizo alidaka ushindi.

“Siku ya kwanza nilishinda Elfu tano, Siku ya pili Elfu mbili, siku ya tatu Elfu moja na siku ya nne nkashinda laki tano.” amefafanua Hassan.

Hassan ameeleza kuwa, pesa aliyoshinda itamsaidia kusogeza mbele ujenzi wa nyumba yake aliouanza kabla ya kushinda.


Nawe pia unaweza kuwa mshindi kila siku na jackpot ya kila wiki. Jinsi ya kucheza Mojaspesho ni rahisi
1. Nenda kwenye menu yako ya #Mpesa, #TigoPesa, #AirtelMoney au #Halopesa;
2. Chagua lipia bili
3. Ingiza kampuni namba 123255
4. Ingiza kumbukumbu namba zako 3 za bahati zikifuatiwa na neno SEE mf. 123SEE
5. Weka kiasi kuanzia sh 1000 na utakua umecheza #Mojaspesho.

Manford Mtwango mkazi wa Kitunda Dar es Salaam, alivutiwa na Mojaspesho tu baada ya kusikia matangazo akaamua na yeye ajiingize kwenye hii fursa. Baada ya muda wa miezi minne ya kucheza mpaka kieleweke, kweli kimeeleweka mwezi huu wa tisa.
Manford ni kijana wa miaka 39 tu, ni muajiriwa kwenye hoteli moja kubwa jijini Dar es Salaam ambaye kajishindi mshiko wa papo hapo wa laki tano.“Sikuamini huu mchezo mpaka pale nilipo pigiwa simu nimeshinda. Mojaspesho ni mchezo wa kweli na mrahisi, ushindi ni wa kweli na mkubwa” 
Manford alipata ushindi wake baada ya kucheza namba zake spesho 164 kwenye droo za dakika kumi. Ushindi unanukia, usikate tama kwani hauwezi kujua bahati yako imejificha tarehe gani.Nawe pia unaweza kuwa mshindi kila siku na jackpot ya kila wiki. Jinsi ya kucheza Mojaspesho ni rahisi
1. Nenda kwenye menu yako ya #Mpesa, #TigoPesa, #AirtelMoney au #Halopesa;
2. Chagua lipia bili
3. Ingiza kampuni namba 123255
4. Ingiza kumbukumbu namba zako 3 za bahati zikifuatiwa na neno SEE mf. 123SEE
5. Weka kiasi kuanzia sh 1000 na utakua umecheza #Mojaspesho.

Habari ndugu wasomaji wangu kutokana na kuwa na ushindani mkubwa katika mambo ya bloging ni muhimu kujua/kulenga watuaji wa mtandao wako ni watu wa namna gani , kwa kipindi hiki cha sasa watuaji wengu wa mitandao wanatumia simu na tablet hivo kuwa na App ni jambo lisilokwepeka ili kwenda sawa na wateja/watembeleaji wa mtandao wako.

Hivo basi kutokana na hali hii Riyadibhai Nimeamua kukusaidia katika hili nitakutengenezea App yako ya android kwa bei nafuu zaidi na kukuwekea katika playstore. wasiliana nami hapa Contact us

Pia hizi ni baadhi ya kazi nilizowahi kufanya


kutazama app zetu zote tulozowahi kuzitengeneza bofya hapa