Tengeneza Android App na kuwekewa Playstore kwa Bei nafuu hapa

Habari ndugu wasomaji wangu kutokana na kuwa na ushindani mkubwa katika mambo ya bloging ni muhimu kujua/kulenga watuaji wa mtandao wako ni watu wa namna gani , kwa kipindi hiki cha sasa watuaji wengu wa mitandao wanatumia simu na tablet hivo kuwa na App ni jambo lisilokwepeka ili kwenda sawa na wateja/watembeleaji wa mtandao wako.

Hivo basi kutokana na hali hii Riyadibhai Nimeamua kukusaidia katika hili nitakutengenezea App yako ya android kwa bei nafuu zaidi na kukuwekea katika playstore. wasiliana nami hapa Contact us

Pia hizi ni baadhi ya kazi nilizowahi kufanya






kutazama app zetu zote tulozowahi kuzitengeneza bofya hapa

0 Comments

Je unamaoni kuhusu makala uliyoisoma dondosha maoni yako hapa