wenda ulikuwa hujui ila channel za bure zipo nyingi mno katika kisimbusi cha startimes kinachotumia dish leo nakupa siri hii bure kabisa fuata njia hizi hapa.
- chukua remote yako bonyeza button ya menu
- kisha chagua DVBS Installation
- kisha chagua single search
- kisha search zitakuja channel kibao ambazo ni free on air
Muhimu
trick hii ni kwenye visimbusi vya startimes vinavyotumia dish , haihusiki kwenye visimbusi vinavyotumia antena.
Pia jambo muhimu zaidi kuliko yote sambaza makala hii kwa marafiki na kuniachia maoni yako kuhusu makala hii hapo chini kwenye coment box
4 Comments
Mbona mimi nimejaribu nimebonyeza Menyu alafu baada ya hapo nimeangalia DVBS haipo
ReplyDeleteIyo DVBS iko mahal gani sas jmn
ReplyDeleteIyo DVBS iko mahal gani sas jmn
ReplyDeleteShukrani Boss kwa kushea basi jambo hilo,ila kwa kuongezea hata king'amuzi cha ZUKU pia unapata free to air.
ReplyDeleteJe unamaoni kuhusu makala uliyoisoma dondosha maoni yako hapa