JINSI YA KUPATA CHANNEL ZAIDI YA 30 BURE KWENYE KING'AMUZI CHA STARTIMES

Naam ndugu zangu tuendelee tu kujuzana maana hili ndio nimeonelea ndio jambo jema, pia hupata furaha nikiona coment zenu munafurahi kutokana na msaada wangu huu mdogo leo tugeukie kwenye kisimbusi cha startimes lakini leo tuchungulie kisimbusi kinachotumia dish.

wenda ulikuwa hujui ila channel za bure zipo nyingi mno katika kisimbusi cha startimes kinachotumia dish leo nakupa siri hii bure kabisa fuata njia hizi hapa.


  • chukua remote yako bonyeza button ya menu
  • kisha chagua DVBS Installation
  • kisha chagua single search
  • kisha search zitakuja channel kibao ambazo ni free on air
Muhimu
trick hii ni kwenye visimbusi vya startimes vinavyotumia dish , haihusiki kwenye visimbusi vinavyotumia antena.

Pia jambo muhimu zaidi kuliko yote sambaza makala hii kwa marafiki na kuniachia maoni yako kuhusu makala hii hapo chini kwenye coment box

4 Comments

  1. Mbona mimi nimejaribu nimebonyeza Menyu alafu baada ya hapo nimeangalia DVBS haipo

    ReplyDelete
  2. Iyo DVBS iko mahal gani sas jmn

    ReplyDelete
  3. Iyo DVBS iko mahal gani sas jmn

    ReplyDelete
  4. Shukrani Boss kwa kushea basi jambo hilo,ila kwa kuongezea hata king'amuzi cha ZUKU pia unapata free to air.

    ReplyDelete

Je unamaoni kuhusu makala uliyoisoma dondosha maoni yako hapa