Haya sasa kwa wale wanao penda muziki mkubwa kama kwenye simu zao kama wanasikiliza kwenye radio kubwa leo tuchukue full vision ya Poweramp free kabisa Natangulia kusema hii ni kwa wenye simu ambazo zipo "ROOTED"
Kama simu yako umeshai ROOT twende hatua kwa hatua.


1. Dawnload poweramp trial kutoka playstore kisha ifungue nenda kwenye setting utaona hivi

 2.Fungua Lucky patcher na utaiona poweramp ikiwa na huu ujumbe
  3.ukiwa kwenye lucky patcher Iguse kwa sekunde kadhaa hiyo poweramp hadi uone hii menu imetokea chagua custom patch
 4. Baada ya kuchagua custompatch vitatokea vipengele vitatu chagua kipengele cha tatu.
 5. Yatakuja maelekezo kwa rangi ya njano ambayo tulisha yafanyia kazi hatua ya 1.
Wewe utachagua Apply

 6.Subiri hadi lucky patcher imalize kuichakachua hiyo poweramp. Itakapo maliza utaona maandishi ya kijani utachagua Launch
 7. Poweramp itafunguka nenda kwenye kipengele cha setting angalia kama imekuwa verified.
 Enjoy poweramp...

Axact

Ibrahim Riyad Houmud

As Salaam Aleikum, I'm Ibrahim Riyadi Houmud, Founder and CEO of RiyadiBhai blog from Mororgoro, Tanzania. I started this blog as a Passion and it now empowering thousands of readers around the globe.Here I usually share news, Adsense tips, wordpress, gadget, widget, Themes, windows, etc.

Post A Comment:

1 comments:

  1. Shukran riyadibhai nimefanikiwa kuchakachua poweramp pamoja na candy crush mungu akubariki kiongozi

    ReplyDelete

Je unamaoni kuhusu makala uliyoisoma dondosha maoni yako hapa