vifaa vya kutumika wakati wa utengeneza blog
Naam kwanza kabisa lazima uwena vifaa hivi
- laptop, computer au simu (yenye uwezo wa internet)
- modem (kama unatumia PC)
- Bundle (kifurushi cha internet)
kisha log in,
itatokea mfano wa kwenye picha hapo juu kisha bonyeza next, lakini kama hauna akaunti bofya creat account (Fungua akaunti) itakuletea fomu kama hii chini pichani
kisha jaza form yao kama hapa chini pichani
utabonyeza sehemu iliyoandikwa Next watakuletea sehemu ambayo utatakiwa kujaza namba ya simu ili wakutumie msimbo (tarakimu sita) au watakupigia hii ni kutokana na mfumo utakao chagua mwenyewe hakikisha namba ulijaza hapo lazima iwe hewani kwa muda huo
kisha bonyeza continue watakuletea sehemu ya kujaza msimbo uliotumiwa
utajaza hapo kwenye kasanduku msimbo uliotumiwa kisha bonyeza continue endelea mpaka katika blogger, ukisha log in utana sehemu ya upande wa kulia wa dashbodi ya blogger imeandikwa (Creat blog) fungua blog utabofya hapo kisha utajaza kichwa cha blog yako mfano Riyadi bhai kisha utajaza url ya blog unayoitaka mfano Riyadibhai.blogspot.com kisha chagua kielelezo (Template) kisha bofya creat blog (fungua blog) mpaka hapa utakuwa tayari umefanikiwa kufungua blog yako.Soma [How to Add Facebook Like Box for blogger blog]
lakini pia kama unataka blog yenye muonekano mzuri wasiliana nami whatsapp 0786242562 nitakutengenezea kwa Tsh 20000 Tu.
Soma [Njia za kupata pesa kupitia adsense kwenye blog/website yako]
hizi ni baadhi ya kazi nilizowahi kuzifanya
Hizo ni baadhi chache kati ya nyingi nilizowahi kuzifanya kabla njoo ufanye kazi nami kwa ni uhakika hakuna rongorongo ukifanya kazi nami, kama tayari unablog na unahitaji Application bonyeza hapa
0 Comments
Je unamaoni kuhusu makala uliyoisoma dondosha maoni yako hapa