Habari na karibu katika ukumbi wetu huu leo tugusie upande wa windows 10 jinsi ya kupata kuiactivate windows 10 PRO au yeyote bure kabisa tufuatane katika hatua hizi nitakazo kuelekeza
HATUA ZA KUFUATA
- Hatua ya kwanza download windows toolkit hapa windows toolkit
![]() |
Muonekano wa windows toolkit |
- kisha ifungue bonyeza kwenye alama ya windows ipo chini upande wa kulia karibu na setting Kama inavyoonekana kwenye picha hapo juu
![]() |
Muonekano wake baada ya kufunguka |
- Bonyeza kwenye Activition maandishi hayo yapo juu kushoto karibu na main
- Kisha bonyeza kwenye EZ-Activator Itaanza kuchakata kwa muda kidogo kama dakika mbili hivi, kama inavyonekana kwenye picha hapa chini
Ikimaliza utabonyeza Product keys kisha kwenye product chagua windows yako ambayo ndio tunaifanyia activate kiasilia hapa kwenye product utakuta windows vista sasa wewe badilisha kama unatumia 10 basi bonyeza kwenye windows vista itakuletea windows nyingine zote kwa hiyo utachagua windows 10 na katika edition utaweka kama ni windows 10 professional basi utaweka utachagua hiyo, kisha bonyeza Install, Itakuletea ujumbe kama huu chini kwenye picha
au inaweza kukuletea ujumbe huu " <Product key Installation failed> The software Licensing service reported that the product key is invalid , kufikia hapo windows yako itakuwa Activated na haitakudai tena Keys. pia kama unahitaji Product keys za windows 7 bofya hapa >>> Windows 7 All Product Keys 2016 - Product Keys For Windows 7
0 Comments
Je unamaoni kuhusu makala uliyoisoma dondosha maoni yako hapa