Articles by "Antivirus"
Showing posts with label Antivirus. Show all posts
As salaam aleikum ndugu yangu, habari za siku nyingi tulipoteana kidogo kutokana na mihangaiko ya kimaisha ila sasa tumerudi tena samahani kwa wale wote walioniachia jumbe na maoni yao na kushindwa kuyajibu kwa wakati au kushindwa kuyajibu kabisa kama ulituma swali au ombi nami sijalijibu mpaka sasa naomba unitumie tena kupitia email yangu Riyadibhai@gmail.com au swahilitech@yahoo.com.

Kila mmoja wetu hasa kama wewe ni mtumiaji wa kompyuta au simu za kisasa (smartphones) utakuwa sio mgeni wa software (zanatepe) za antivirus. Kama jina linavyojieleza software hizi ni maalumu kwa ajili ya kupambana na virusi vya kompyuta au simu.

Ili kuweza kupambana na virusi vinavyoharibu mifumo ya kompyuta ni lazima uwe na software ya antivirus inayoweza kupambana na virusi hivyo.

Hebu tuangalie kwanza njia ambazo virusi wanavyoweza kuingia katika mfumo wa kompyuta yako;

Kupitia kwenye vifaa vya kuhifadhi data vinavyochomekwa kama USB Flash Drive na SDCards.
Kupitia kwenye mtandao kama komyuta yako imeunganishwa na mtandao moja kwa moja
Kupitia katika viambatanishi vinavyotumwa na barua pepe

Baada ya kuona jinsi virusi vya kompyuta vinavyoweza kuingia kwenye kompyuta yako na kuleta madhara hebu sasa tuangalie vinafanya nini hasa baada ya kuingia.

Hapa inategemea sana na aina ya virusi aliyeingia katika kompyuta yako na lengo la mtengenezaji wa hivyo virusi katika kufanikisha lengo analotaka. Kulingana na aina ya mashambulizi na madhara wanayoleta virusi hawa wamegawanywa katika makundi tofauti tofauti kama Virus, Spyware, Worms, Trojans na Adwares.

Virus wao wanafanya kama jina lao linavyoelekeza, kama walivyo virusi wa wanyama na virusi hivi vya kompyuta vinadhorotesha utendaji wa kompyuta yako kwa kufuta baadhi ya mafaili ya programu au data katika kompyuta yako. Wengine hujiongeza wenyewe na kujaza nafasi ya kompyuta yako hivyo kushusha ufanisi.

Spyware ni aina ya virusi vya kompyuta vinatengenezwa kwa lengo la kuiba data za mtumiaji wa komyuta. Mara nyingi spyware zinajihusisha na masuala kama ya kuiba passwords, pin na baadhi ya mafaili waliyoelekezwa. Spyaware hutumika sana na wadukuzi na mashirika makubwa ya kijasusi katika kufuatilia nyendo za mtumiaji wa kompyuta husika.

Worms kwa lugha ya kiswahili ni minyoo, kama ilivyo minyoo ya binadamu worms wanatekeleza mashambulizi yao katika kompyuta kwa kujiongeza na kujaza nafasi ya kompyuta bila mtumiaji wake kufahamu, mara nyingine worms wanatafuna (futa) baadhi ya mafaili na kuharibu kabisa mwenendo wa kawaida wa kompyuta.

Trojans wao ni kama virusi wanaotumwa kufungulia mlango mashambulizi mengine. Mara nyingi trojans wanaingia wakiwa katika baadhi ya software au viambatanisho vya katika barua pepe tunazopakua kila siku mtandaoni. Mara nyingi hujifanya kama software za nyongeza au za bure na zinakushawishi kuzipakua.

Adwares hawa ni virus wa kompyuta wenye lengo la kutangaza biashara za makampuni fulani na mara nyingi wanapatikana katika mitandao. Adwares husumbua sana watumiaji wa vivinjari kama internet explorer na Mozila Firefox kwa kujaza matangazo katika kurasa za tovuti unazotembelea.

Baada ya kuona jinsi virus wanavyoshambulia kompyuta zetu nadhani ni muhimu pia kufahamu jinsi programu za antivirus zinavyopambana navyo. Kuna aina nyingi sana za antivirus katika soko kwa sasa na nilishawahi kuandika hapa programu bora zaidi za antivirus katika soko kwa sasa kama Bitdefender, Kaspersky, Norton na nyingine nyingi.

Interactive: Katika njia hii programu ya antivirus huwa inafanya kazi nyuma ya pazia muda wote na inahakiki kila kitu kinachofanywa na kompyuta muda wote na kuikinga na madhara yanayoweza kuletwa na virusi. Mara nyingi njia hii inapambana zaidi na virusi vinavyoingia kwenye kompyuta kupitia katika mtandao au vifaa vinavyochomekwa.

Scan: Katika njia hii programu ya antivirus inapekua kila sehemu ya kompyuta kuanzia katika diski hifadhi mpaka katika memory na kuangalia dalili zozote za kuwepo kwa madhara au virusi vya kompyuta. Pale inapovikuta huwa inampa taarifa mtumiaji na kumpa njia tofauti za kuweza kuwaondoa au kupambana na virusi hivyo.

Mambo muhimu ya kuzingatia wakati unatumia Antivirus

Kumbuka kuupdate (kuboresha) programu ya antivirus mara kwa mara kwa kuwa kila siku virusi vipya vinatengenezwa na kinga mpya dhidi ya virusi hivyo pia hutengenezwa
Pendelea kutumia Antivirus za kulipia kwa sababu zinakuwa na uwezo mkubwa zaidi ukilinganisha na zile za bure

Kuwa makini unapofuta faili au programu iliyoshambuliwa na virusi kwa sababu unaweza futa mafaili yako ya msingi au mafaili ya programu endeshi
Hakikisha unairuhusu programu yako ya antivirus kuscan vifaa vyote unavyochomeka katika kompyuta yako kabla ya kuvifungua

Hizi ni baadhi ya dondoo kuhusiana na virusi vya kompyuta, usisite kutoa maoni yako katika ukurasa wetu au sehemu ya maoni hapo chini.
The number-one tool for cleaning your PC. It protects your privacy and makes your computer faster and more secure. Easy to use, one click cleaning.

CCleaner Pro Technical Setup Details

 • Software Full Name: CCleaner Pro
 • Setup File Name: CCleaner_Pro_v5.33.6162_Activated.zip
 • Full Setup Size: 9.6 MB
 • Setup Type: Offline Installer / Full Standalone Setup
 • Compatibility Architecture: 32 Bit (x86) / 64 Bit (x64)
 • Latest Version Release Added On: 29th Oct 2017
 • Developers: Piriform

System Requirements For CCleaner Pro

Before you start CCleaner Pro free download, make sure your PC meets minimum system requirements.
 • Operating System: Windows XP/Vista/7/8/8.1/10
 • Memory (RAM): 256 MB of RAM required.
 • Hard Disk Space: 20 MB of free space required.
 • Processor: Intel Pentium processor or later.

CCleaner Pro ​Free Download

Click on below button to start CCleaner Pro ​Free Download. This is complete offline installer and standalone setup for CCleaner Pro. This would be compatible with both 32 bit and 64 bit windows.

Webroot SecureAnywhere AntiVirus 9 Free Download Latest Version. Its full offline installer standalone setup of Webroot SecureAnywhere AntiVirus 9.

Webroot SecureAnywhere AntiVirus 9 Overview

Webroot SecureAnywhere AntiVirus 9 is a powerful as well as easy to use antivirus that has been developed to ensure that you remain protected from viruses plus it will also let you protect your online identity. Virus and Malware protection should be the prime requirement for any PC users and for ensuring that your PC is safe from all threats you need to have an impressive and working antivirus solution and Webroot SecureAnywhere AntiVirus 9 is one of them. You can also download SmadAV Pro 10.9 2016.
Webroot SecureAnywhere AntiVirus 9 has got a user friendly interface which will let you access all the functions easily. It has got numerous components that has been designed for the protection of your PC which includes realtime ans webshield and a firewall which is built-in Webroot SecureAnywhere AntiVirus. You can secure your personal information with a very powerful Identity Protection feature. It has got a SafeStart Sandbox feature which will let you run any of the programs which may seem suspicious in a virtual environment. 

Features of Webroot SecureAnywhere AntiVirus 9

Below are some noticeable features which you’ll experience after Webroot SecureAnywhere AntiVirus 9 free download.
 • Easy to use antivirus application developed to ensure that you remain protected.
 • Lets you protect your online identity.
 • Got user friendly interface.
 • Lets you access all the functions easily.
 • Got numerous components designed for protecting your PC.
 • Got Identity Protection feature to secure your personal information.
 • Got SafeStart Sandbox feature.

Webroot SecureAnywhere AntiVirus 9 Technical Setup Details

 • Software Full Name: Webroot SecureAnywhere AntiVirus 9
 • Setup File Name: Webroot_SecureAnywhere_AntiVirus_9.0.14.58.zip
 • Full Setup Size: 943 KB
 • Setup Type: Offline Installer / Full Standalone Setup
 • Compatibility Architecture: 32 Bit (x86) / 64 Bit (x64)
 • Latest Version Release Added On: 14th Jan 2017
 • Developers: Homepage

System Requirements For Webroot SecureAnywhere AntiVirus 9

Before you start Webroot SecureAnywhere AntiVirus 9 free download, make sure your PC meets minimum system requirements.
 • Operating System: Windows XP/Vista/7/8/8.1/10
 • Memory (RAM): 256 MB of RAM required.
 • Hard Disk Space: 10 MB of free space required.
 • Processor: Intel Pentium processor or later.

Webroot SecureAnywhere AntiVirus 9 Free Download

Click on below button to start Webroot SecureAnywhere AntiVirus 9 Free Download. This is complete offline installer and standalone setup for Webroot SecureAnywhere AntiVirus 9. This would be compatible with both 32 bit and 64 bit windows.


Antivirus App Ni application ya Muhimu Sana Katika Smartphone Yoyote Ili kuepuka Uharibifu Unaoweza Kusababishwa na Virusi Vya Simu Ambavyo Hupatikana Kwa Njia Mbalimbali Ikiwemo Kutoka  katika Internet, Au hata Kurushiwa kwa njia ya Bluetooth Au Ku’Kopi’ kutoka kwenye Memory Kadi Au Kompyuta  iliyo na Mafaili yaliyo Athiriwa na Virusi.

Zifuatazo Ni Application Tano Bora za Antivirus Ambazo Zitaweza Kuilinda Simu yako Dhidi ya Uharibifu Kutokana Na Virus.

1.Avast Antivirus.

 

Avast Antivirus Ni Moja ya Antivirus maarufu sana na Moja ya Sababu ni Ya Umaarufu Huo kutokana na Kuwa na Version ya PC  Ambayo nayo imekua Ikifanya Vizuri Katika Ulinzi wa Kumpyuta. Avast Katika Android  ina watumiaji Takribani Milioni 100 ambao kati yao Millioni 4 wameweza kuipa Hadhi ya Nyota 4.5 Kutokana ya Ubora wake Mkubwa.
Avast inakuja na Features mbalimbali Kama ‘Device Scanning’(Huilinda simu yako kwa ujumla dhidi ya Virus), ‘Apps Scanning’(Huskani Ili kuondoa Apps zisizo samala), ‘Anti-Theft’(Hukusaidia Pale simu yako inapoibiwa), ‘Remote Lock Your device’(Utaweza Kuifunga simu yako Endapo Imeibiwa) na Pia  ‘Data base Update'(Data base yake Hujiupdate kila mara Ili kuwa ya Kisasa Kila Mara)
Avast Antivirus inapatikana PlayStore Bofya Hapa Ili Kui’Download’ kutoka PlayStore

2. AVG Antivirus

AVG Antivirus Ni Maarufu Pia Kwa watumiaji Wengi  wa Kompyuta  na Pia imekua ikifanya vyema katika Suala Zima la Ulinzi wa Simu Za Android.
AVG Antivirus Inakuja na Features mbalimbali kama ‘Device Scanning Scan’(Kuilinda simu yako kwa ujumla dhidi ya Virus), ‘Apps Scanning’(Huskani Ili kuondoa Apps zisizo samala), ‘Anti-Theft’(Hukusaidia Pale simu yako inapoibiwa), ‘Remote Lock Your device’(Utaweza Kuifunga simu yako Endapo Imeibiwa) na Pia  ‘Data base Update'(Data base yake Hujiupdate kila mara Ili kuwa ya Kisasa Kila Mara.
Kuongezea Juu ya Hayo, AVG Antivirus Inakuja na Features nyingine kama ‘Task Killer’, (Ambayo inakuwezesha Kubajeti Maisha ya betry yako Pia KuBajeti Nafasi katika Simu yako), ‘Remote Device Data Wiping’ (Inakuwezesha kufuta Data Zako Katika Simu Pindi Unapoibiwa Simu yako).
AVG Antivirus Inapatikana PlayStore  Bofya Hapa Ili Kui’Download Kutoka PlayStore.

3. 360 Security

 

360 Security Ni Antivirus Bora ya Android  Yenye watumiaji wengi Zaidi Kufikia Takribani ya  Watumiaji  Millioni 200, Huku watumiaji Millioni 15 Wakiipa  Application Hii Hadhi ya Nyota 4.6.
360 Security Inakuja na Features Nyingi mbalimbali Kama Vile ‘File scan‘(Kukagua File Moja Moja kama Lina Virusi), Real Time Protection’ (Hukulinda Kila Muda Uitumiapo Simu yako), ‘App Lock’(Inakuwezesha Kufunga Apps zako kwa Password’), Smart Battery Saver’ (Hukuwezesha kutunza Chaji ya Betry yako zaidi), 360 Security Pia Inakuja na ‘Booster’ pamoja na ‘Cleaner’ ambavyo Vyote kwa Pamoja Huongeza na Kuimarisha Utendaji wa Simu yako.
360 Security Inapatikana PlayStore  Buree, Bofya Hapa Kui’Download’ Kutoka PlayStore

4. Kaspersky Antivirus.

 

Kaspersky Antivirus, Ni moja ya Antivirus Bora za Android ambayo Ni Rahisi Kutumia na Inapatika Bure Play Store. Kaspersky Antivirus Ni Antivirus yenye Nguvu Hivyo Huhitaji Simu yenye Processor na RAM Kubwa  Ili Iweze kufanya kazi katika Simu Husika.
Kaspersky Antivirus Inakuja Na features kama ‘Scanning’, ‘Anti-Phishing‘(Hukulinda dhidi ya Udokozi), ‘Cloud Protection’,  ‘Ant-Theft’, Pia na Feature Nyingine Kama Kufanya Simu Kutoa Mlio wa Alarm Ili kukusaidia Kutafuta Simu yako  Pale Inapoibiwa.
Kaspersky Antivirus Inapatikana PlayStore  Bofya Hapa Kui’Download’ Kutoka PlayStore

5. McAfee Antivirus

 

McAfee Antivirus Ni moja kati ya Ant virus Zenye Majina Makubwa, Na Uzuri wa McAfee Antivirus Hakuna Tofauti Kubwa Kati Features za Kulipia Na Zile Za Bure.
Katika App Hii  Unapata Features Nyingi za Bure Zinazokupa Ulinzi wa Kutosha, Japo Baada ya kulipia Utapata Features za Ziada Kama ‘Power Booster’ Ambayo Unaweza Achana nayo Sababu Free Version imetoa Ulinzi wa Kutosha. McAfee Antivirus Inapatikana PlayStore Buree Bofya Hapa Ili Kui’Download’ Kutoka PlayStore.

 

AVG Internet Security 2016 v16.101 Final Free Download Latest Version for Windows. Its full offline installer standalone setup of AVG Internet Security 2016

AVG Internet Security 2016 v16.101 Final Overview

AVG Internet Security 2016 v16.101 Final is an antivirus which will let you browse the internet safely. It will allow you to protect your data from being stolen. It will continuously check your system from any suspicious activity. This is necessary as after the sudden boom in the internet people are more relying on internet for their everyday activities and the bad guys are looking at it as an easy attempt to rob someone. In such scenarios you need proper protection and AVG Internet Security 2016 v16.101 Final is the best choice. You can also download 

AVG Internet Security 2016 v16.101 Final has got a simple installation process which will let you exclude all the unwanted components. Though you can use AVG Antivirus Free and AVG Antivirus Pro for protection but AVG Internet Security is topping the list with its flawless security measures. It has got an anti-spam module which will filter all your emails and will delete all of the unwanted emails. It has also got its own firewall which can easily replace your default Windows Firewall. It can easily block the hackers from intrusions. With this firewall secured online transactions are ensured. It has also got a PC Analyzer which will scan your PC for any registry errors, broken shortcuts and junk files. It has also got email shield which can scan all incoming/outgoing  emails for any malicious activity and spams. You may also like to download 

Features of AVG Internet Security 2016 v16.101 Final

Below are some noticeable features which you’ll experience after AVG Internet Security 2016 v16.101 Final free download.
 • Lets you browse the internet safely.
 • Check your system for any suspicious activity continuously.
 • Got simple installation process.
 • Got anti-spam module for filtering your emails.
 • Got its own firewall which can replace Windows Firewall.
 • Got PC analyzer for scanning your PC for any registry errors and junk files.
 • Got Email Shield which scan all incoming/outgoing emails.
 

AVG Internet Security 2016 v16.101 Final Technical Setup Details

 • Software Full Name: AVG Internet Security 2016 v16.101 Final
 • Setup File Name: AVG_2016_v16.101_Build_7752_Internet.zip
 • Full Setup Size: 478 MB
 • Setup Type: Off line Installer / Full Standalone Setup
 • Compatibility Architecture: 32 Bit (x86) / 64 Bit (x64)
 • Latest Version Release Added On: 23th Aug 2016
 • Developers: AVG Internet Security Homepage
 

System Requirements For AVG Internet Security 2016 v16.101 Final

Before you start AVG Internet Security 2016 v16.101 Final free download, make sure your PC meets minimum system requirements.
 • Operating System: Windows XP/Vista/7/8/8.1/10
 • Memory (RAM): 512 MB of RAM required.
 • Hard Disk Space: 1 GB of free space required.
 • Processor: 1.5 GHz Intel Pentium processor or later.

AVG Internet Security 2016 v16.101 Final Free Download

Click on below button to start AVG Internet Security 2016 v16.101 Final Free Download. This is complete offline installer and standalone setup for AVG Internet Security 2016 v16.101 Final. This would be compatible with both 32 bit and 64 bit windows.
http://getintopc.com/wait-for-access.php

SmadAV Pro 10.9 2016 Free Download Latest Version for Windows. SmadAV Pro Provides you real time protection against different threats. 

SmadAV Pro 10.9 2016 Overview

Smadav Pro 10.9 2016 is an impressive and simple security application which will provide you a real time protection against different threats and ensures that your computer is safe. It provides extra security to your system with some existing antivirus application. This Indonesian protection tool can perform automatic update whenever there is a revision.


Smadav Pro performs faster scanning and Smad-Turbo can be activated to speed things up. It also supports filtering and you can filter by file type which means SmadAV will only scan the files defined in the filter. This process will help in accelerating the scanning process. There is an exception list feature available in this antivirus utility which can be used for ignoring some specific files from scanning. These are the files which you will be sure about that they are not affected by viruses. SmadAV screen can be adjusted according to your preferences. If you think that the screen is too big than you can hide the panel and if you think that the screen is less extensive than you can maximize it. SmadAV by default has a green color theme but you can change the color according to your choice.

Features of SmadAV Pro 10.9 2016

Below are some noticeable features which you’ll experience after SmadAV Pro 10.9 2016 free download.
 • Imposing and simple security application.
 • Provides you real time protection against different threats.
 • Provides your system with extra security.
 • Can filter your scanning by file type.
 • Got Exception List feature.
 • Can adjust the screen according to your preferences.
 • Can change the color theme.


SmadAV Pro 10.9 2016 Technical Setup Details

 • Software Full Name: SmadAV Pro 10.9 2016
 • Setup File Name: Smadav_Pro_10.9_2016.zip
 • Full Setup Size: 1.3 MB
 • Setup Type: Offline Installer / Full Standalone Setup
 • Compatibility Architecture: 32 Bit (x86) / 64 Bit (x64)
 • Latest Version Release Added On: 01st Sep 2016
 • Developers: SmadAV Pro Homepage
System Requirements For SmadAV Pro 10.9 2016

Before you start SmadAV Pro 10.9 2016 free download, make sure your PC meets minimum system requirements.
 • Operating System: Windows XP/Vista/7/8/8.1/10
 • Memory (RAM): 1 GB of RAM required.
 • Hard Disk Space: 5 MB of free space required.
 • Processor: Intel Dual Core processor or later.

SmadAV Pro 10.9 2016 Free Download

Click on below button to start SmadAV Pro 10.9 2016 Free Download. This is complete offline installer and standalone setup for SmadAV Pro 10.9 2016. This would be compatible with both 32 bit and 64 bit windows.


MUHIMU
Ili kudownload bofya picha hapa chini itakuamisha kutoka hapa kwenda kwenye prosess kisha utaona upande wakulia please wait second 5, utasubiri kwa sekunde tano kisha litatokea neno SKIP THIS AD kisha bonyeza DOWNLOAD NOW mpaka hapo utakuwa umefanikiwa kudownload. Unaweza kuniachia maoni yako hapo chini

http://sh.st/4L87g