JINSI YA KU-UNLOCK MODEM HUAWEI e303h-1 YA KAMPUNI YA TIGO, VODACOM, AIRTEL, ZANTEL

As salaam aleikum ndugu wapendwa wasomaji wa blog hii leo tuzungumzie kuhusu ku-unlock modem, mifano ya picha itatumika modem ya mtandao wa Tigo, ila njia hii inaweza ku-unlock modem zote za huawei e303h-1 haijarishi itakuwa ni ya mtandao gani.

Step 1- Download  Huawei Modem Unlocker. Download hapa chini :
DOWNLOAD

Step 2- Download Huawei Firmware Update ( E303h-1_E3531_E3533_UPDATE_21.318.05.00.00 )Download hapa chini :
DOWNLOAD

Step 3- Chomeka modem yako na ifungue /  Install drivers za Huawei E303h-1 Pia acha imalize kuinstall dashboard ya tigo. ( Fanya installation ya modem yako ya tigo kwa original dashboard yake )

Step 4-. Cancel au Ifunge dashboard ya tigo baada ya kufunguka

Step 5- Fungua Huawei Unlocker, hakikisha imesoma IMEI number, kisha click CALCULATE ili kuweza kupata 
>NCK CODE na FLASH CODE

Step 6-  Baada ya ku calculate sasa Nakili  / Copy FLASH CODE zitatumika hatua inayofuata katika zoezi la kufungua modem ya Huawei e303h-1

Step 7- Fungua Firmware ambayo ulishaidownload awali na kisha click start

Step 8- Hapo kwenye "password" weka FLASH CODE uliyonakili awali, Subiri utajitokeza  ujumbe wa Update successfully 

Mpaka kufikia hapo tayari modem yako iko poa kwa kutumika Imeandikwa na +Riyadi Bhai Picha zote kutoka Mtandaoni. kama hujaelewa au unaswali lolote kuhusu mada hii niachie maoni yako hapo chini. 


2 Comments

  1. hi mimi ningepependa kujua jinsi ya ku unlock modem Huawei E303S-1

    ReplyDelete
  2. Ni furaha yetu kuona makala yetu imekusaidia nduyu yetu, usisahau kushare link ya blog yetu kwa ndugu, Jamaa na Marafiki

    ReplyDelete

Je unamaoni kuhusu makala uliyoisoma dondosha maoni yako hapa