Instagram imeanza kuweka uwezo wa ku-share comment katika Instagram Stories.

 Mabadiliko haya yatasaidia comment ambazo zinafurahisha au ambazo zina maelezo mazuri kuvuma katika Instagram Stories. 



Comments ni sehemu ya muhimu sana ambayo watu wengi wanapenda kuisoma, na Instagram inataka kuzikuza zaidi.

0 Comments

Je unamaoni kuhusu makala uliyoisoma dondosha maoni yako hapa