Kama wewe ni mpenzi wa movie mpya basi makala hii ni kwa ajili yako, kupitia makala hii tutaenda kuangalia tovuti bora ambazo unaweza kutumia kudownload movie mpya hasa kipindi hichi cha sikukuu. Basi bila kupoteza muda moja kwa moja twende kwenye makala hii.
- Mkvking – Movie Mpya na Series
Kama wewe ni mpenzi wa movie mpya basi ni lazima unafahamu tovuti hii ya mkvking, kama bado hufahamu tovuti hii basi ni wakati wa kuifahamu kwani hii ni moja kati ya tovuti kubwa sana zilizobaki zinazo kuruhusu kupakua flamu mpya kwa urahisi sana. Tovuti hii haina bongo movie au movie za kibongo bali hii inaweza kusaidia kupata filamu zote mpya za wazungu pamoja na movie za kihindi.
Nenda katika website hapa- Movieflix – Movie Mpya na TV Shows
Movieflix ni tovuti nyingine bora ya kudownload movie mpya, tovuti hii ni moja kati ya tovuti bora za kudownload movie ambayo inakuja na movie nyingi sana mpya. Mbali ya kuwa na movie tovuti hii pia inakuja na series mpya ambazo unaweza kuzipakua moja kwa moja na kwa haraka sana, tovuti hii inasifika kwa kuwa na movie ambazo unaweza kuzipakua kwa haraka sana. Tovuti hii nayo haina movie za Tanzania au bongo movie.
0 Comments
Je unamaoni kuhusu makala uliyoisoma dondosha maoni yako hapa