Fahamu jinsi ya kufungua Tovuti vilizozuiwa kwa kutumia Operamini


as salaam aleikum ndugu zangu watumiaji na watembeleaji wa blog hii leo tupate ujanja mpya kuhusu kutembelea tovuti vilizozuiwa au kufungiwa mfano Ukisafiri baadhi ya nchi, website za muhimu kama za dini huwa zimefungiwa.

kuna browser inayoitwa opera, hii ni browser kama ilivyo kwa google chrome, lakini imeboreshwa zaidi kwa kuwekewa ndani yake feature ya vpn, huna haja ya kudownload vpn, ukiwa na opera ushamaliza mchezo.


1. ingia playstore au apple store, download Opera browser (sio opera mini)


2. fungua opera, ingia sehemu ya settings,

B. Ingia sehemu ya vpn


c. washa hii sehemu


faida ya opera

huna haja ya kudownload vpn inayojitegemea, hii imo tayari ya browser ya kuperuzi mtandao

huna haja ya kufungua na kuwasha vpn kila mara, opera ukiseti mara moja tu umemaliza kazi.

0 Comments

Je unamaoni kuhusu makala uliyoisoma dondosha maoni yako hapa