Episode 4 ya series ya HAWKEYE imeachiwa Jana Desemba 8, 2021

Kwa wale wafuatiliaji wa series ya hawkeye Jana tarehe 8 dec 2021 wameachia episode ya 4 ndani ya series clint amekutana na kate bishop huyu binti naye anakiwasha kwelikweli.


Episode ya 5 inatoka 15 Dec 2021


Baada ya nchi ya america kuingia kwenye janga kubwa la kuvamiwa na aliens ( wale mliongalia the avengers mnaelewa vizuri hapa) basi ikabidi kikosi cha mashujaa wakiwemo hulk, iron man na Clint (hawkeye) kupambana na viumbe hawa na hii vita walishinda lakini iliacha maafa makubwa kwa wananchi wa amerika


ikiwemo na baba yake kate kufa hivyo kate analelewa na mama yake lakini binti anamwambia mama ake anataka kujifunza sanaa ya mapigano ikiwemo utumiaji wa mshale kumbuka huyu kuna aliens mmoja alitaka kumvamia kipindi kile cha vita lakini hawkeye akawahi kumtwangwa mshale ebwana wee


Sasa binti kashakua na akaiva kwenye swala la upambanaji lakini anajikuta matatizoni baada ya kuiba suti na kuivaa suti hiyo ilavaliwa na RONIN mambo mengi yanatokea ikabidi bwana mkubwa clinti (hawkeye) aingia kazini kupambana na maadui maana na yeye huu mchezo unamuhusu haswa


Related Article

je ronin ni nani


na kwanini clint anajitoa sana kumsaidia kate bishop


EPISODE 1
[SERVER 1] || [MULTI SERVERS]

EPISODE 2
[SERVER 1] || [MULTI SERVERS]

EPISODE 3
[SERVER 1] || [MULTI SERVERS]

EPISODE 4
[SERVER 1] || [MULTI SERVERS]

SCREENSHOT



0 Comments

Je unamaoni kuhusu makala uliyoisoma dondosha maoni yako hapa