FAHAMU WATU WALIOTEMBELEA PROFILE YAKO WHATSAPP, SOMA HAPA

Whatsapp imekuwa application inayobamba zaidi unapozungumzia application za kuchat. Zaidi ya watu bilioni moja ulimweguni kote wanatumia mtandao huu unaomilikiwa na Facebook.


Whatsapp kwa sasa ina kila kitu ambacho mtumaji wa sms angependa kuwa nacho, tatizo ipo sehemu moja tu pale unapotaka kujua nani na nani waliangalia picha yako uliyoiweka kama Display Picture katika profile yako.

Ondoa shaka, kwa msaada wa application ya “WhatsApp – Who viewed me?” unaweza ukajua nani aliangalia profile picha yako, pongezi zote ziende kwa mtengenezaji wa application hii. Application hii kwa sasa inapatikana kwa watumiaji wa Android tu na inamuwezesha mtumiaji wake kujua nani anaangalia taarifa za profile yake mara kwa mara.

Kwa kubonyeza mara moja tu (single click) application hii itaanza kuscan na kukupa orodha ya watu walio tembelea Profile yako ya Whatsapp siku hiyo. Application hii inafanya kazi kwa matoleo yote ya android kuanzia Android Version 2.3 na kuendelea.

Unaweza ukaipakua (download) application hii kutoka Mobogenie App store Au ukatumia link ya juu.

0 Comments

Je unamaoni kuhusu makala uliyoisoma dondosha maoni yako hapa