JINSI YA KUWEKA FACEBOOK COMMENT BOX KATIKA BLOGGER

Jinsi ya kuweka facebook coment katika blog yako fuata hatua hizi hapa chini leo sina maneno mengi maana hata hii makala naandika lakini sina mood poa ya kuandika so nikikosea nikumbushe kwenye comment

kwanza ingia hapa https://developers.facebook.com/docs/plugins/comments/ kisha fungua app kulia juu utaona set project bonyeza hapo kisha fuata maelezo

ukishafanikiwa bonyeza tena hii link https://developers.facebook.com/docs/plugins/comments/ kisha nenda sehemu iliyoandikwa  Comments Plugin Code Generator 

kisha bonyeza get code 
Sasa tafuta code hii <body> kisha copy hizo code za kwanza kisha paste juu ya code hii <body>

kisha copy code hizo za mwisho weka/paste sehemu ambayo unahitaji facebook comment box itokee

nimeshamaliza maelezo yangu 

0 Comments

Je unamaoni kuhusu makala uliyoisoma dondosha maoni yako hapa