JINSI YA KU-UNLOCK TECNO Y3+

Habari za wakati mwingine ndugu msomaji wangu leo tuendelee kuambukizana ujuzi wenye manufaa, leo tuchungulie upande wa ku-unlock wagiftishe tecno Y3+

Mazingatio ndio manufaa yako katika makala hii twende sawa

Mahitaji:
1,TECNO Y3+
2,INTERNET BUNDLE (Just 2mb)

Fanya yafutayo.

1, kwenye hiyo simu ambayo unahitaji kui-unlock ingia PLAYSTORE,kisha Install MTK ENGINEERING MODE au MTK ENGINEERING MODE SHORTCUT.

2,Ikishamaliza kuinstall ifungue hiyo Mtk engineering, 

3,itakuja menu yenye Tabs. Angalia neno TELEPHONY

4,Shusha kuelekea chini ya Telephony mpaka upate neno SIMME LOCK au SIM LOCK Kisha chagua hapo kwenye neno SIMME LOCK au SIM LOCK

5,ukimaliza Hatua 4 utaona neno NETWORK PERSONALIZATION, fungua hapo kisha utaona UNLOCK/NETWORK UNLOCK , 

6,Ukiselect network unlock simu itaomba unlock codes , tumia namba hizi 12345678 

7,ukishamaliza hapo bonyeza button ya back mara moja, Utaona neno hili PERMANENTLY UNLOCK, chagua hiyo.

8, restart simu yako na mpaka kufikia hapo zoezi lako litakuwa limekamilika furahia Wagiftishe.

Usisahau kushare na marafiki ili wote tujiweze, Tafadhali usiuze ujuzi japo ulinunua 'nimeshauri tu'


niachie maoni yako hapo chini kuhusu makala hii

0 Comments

Je unamaoni kuhusu makala uliyoisoma dondosha maoni yako hapa