Habari za wakati mpenzi msomaji wa blog hii makini kwa ajili ya watu makini natumai ni mzima kabisa nami pia namshukuru mola wangu kwa kunijaalia kuwa pamoja nawe katika makala hii leo nimepata kuona uzi mmoja huko jamii forums kuhusu kupata kuangalia chaneli za nyumbani kupitia simu yako ya mkononi hivyo si vibaya kama nitakushirikisha na wewe ili tufurahike pamoja.
App hii ambayo unaelekea kuipakua (download) itakuwezesha wewe kuweza kutazama tv kupitia simu yako na kukuwezesha kuchagua chaneli za nyumbani bila malipo yeyote kama azam sports HD , Azam two n.k
bofya link hapa DOWNLOAD
Jinsi ya Kuangalia tv kupitia simu yako na kupata channel za kitanzania
Riyadi
October 20, 2016
0
Comments
Related Article

0 Comments
Je unamaoni kuhusu makala uliyoisoma dondosha maoni yako hapa