Jinsi ya Ku Unlock modem ya Tigo Huawei 303H

Mahitaji
# Huawei Modem Unlocker | https://copy.com/3Ivruv1HrSSc | Size 30Kb
# Firmware Ichukue hapa | http://goo.gl/5fJlJp | Size 13.5Mb


Jinsi ya kufanya
Install driver za Huawei E303H kwa ku istall software ya modem 
kama umeweka laini tofauti na tigo utatokea ujumbe huu


Clik ok kisha funga software ya modem
kisha fungua Huawei UNLOCKER hakikisha imesoma IMEI number kisha clik CALCULATE
Nakili (copy) flash code zitatumika hatua inayofuata fungua farmware kisha clik start
hapo kwenye password weka ile FLASH CODE uliyoicopy kisha subiri utajitokeeza ujumbe huu
Mpaka kufikia hapo utakuwa umeshafanikiwa ku Unlock Modem yako ya Tigo Huawei E303H

Enjoy kumbuka kama unahitaji Tricks Yeyote usisite kuwasiliana nami kwa kujaza fomu ya contact us 
NB:Naomba uisambaze kama ilivyo kama una swali lolote niachie maoni yako hapo chini nami nitayashughulikia.

0 Comments

Je unamaoni kuhusu makala uliyoisoma dondosha maoni yako hapa