Articles by "Telegram"
Showing posts with label Telegram. Show all posts
As salaam aleikum ndugu yangu Ni ngumu kidogo kuamini kama inawezekana Jambo hili kutokana na sifa ya ulinzi mkali ulipo katika mtandao huu pendwa wa telegram ninapokwambia kujiunga bila namba ya simu sina maana kuwa ni rahisi sana ila niamini kuwa inawezekana tena inawezekana bila hata kutumia email yako
Kikubwa ni kuzingatia haya nitakayokueleza ili kufanikiwa katika zoezi letu hili la kujiunga na mtandao wa telegram bila kutumia namba yako ya simu
Hapa chini nimekuwekea video jinsi yakukamilisha zoezi letu itazame hapa chini

As salaam aleikum ndugu zangu leo tuangalie jinsi ya kupakua movie/filamu/cinema kupitia mtandao wa Telegram, kuna mambo mengi ambayo wenda ukawa huyajui kuhusu mtandao huu wa telegram leo wacha tuzungumzie kulihusu jambo hili,

kuna namna tofauti tofauti za kupakua filamu au muziki kupitia mtandao huu kama kujiunga na magroup au channel hapa tuzungumzie channel, sababu ndio njia rahisi zaidi ambayo haitakufanya utaumie muda mwingi kuchat wacha kutafuta fuata hatua hizi.

Lazima uwe na vifaa vya kukuwezesha kutumia internet mfano lazima uwe na tablet, computer au simu kama tayari unavyo ni lazima uwe na bando la internet kama huna bando soma [ Jinsi ya kujiunga na vifurushishi vya internet visivyo rasmi ] kisha tuendelee hapa nitazungumzia simu kama kila kitu tayari ingia playstore katika simu yako kisha tafuta telegram kisha install naam.

kisha jiunge kama unavyojiunga katika mtandao wa whatsapp ukikamilisha usajili sasa fuata hatua hizi ingia katika kivinjari chako chochote kisha fungua link hii www.tchennels.me kisha tafuta channel yeyote unayoihitaji

utakuta category nyingi ambazo sitahusisha muziki, movies, enterteinment na mambo mengine kibao ukiipata channel unayoihitaji bonyeza sehemu iliyoandikwa Add basi channel hiyo itafunguka kupitia app ya telegram kama utahitaji kujiunga na channel hiyo bonyeza sehemu iliyoandikwa JOIN mpaka hapo utakuwa tayari umejiunga na channel hiyo.

Asante kwa kutembelea mtandao huu endelea kuwa nami kwa kujiunga nami katika mitandao yangu ya kijamii +Riyadi Bhai share na marafiki makala hii