Mambo ambayo ningemwambia mdogo wangu:
unapata katika maisha kile ambacho una ujasiri wa kuomba/kukipambania.
ni bora kujaribu kitu kuliko kutofanya chochote.
chukua fursa unazopata, hautazipata kila wakati.
ukishindwa, jaribu tena, una majaribio yasiyo na kikomo.
unakuwa watu/mtu unaojizungusha nao, acha kujumuika na watu ambao hutaki kuwa.
kama huwezi kuidhibiti, ikumbatie
acha kusubiri muda muafaka, wakati muafaka ni pale unapoanza.
0 Comments
Je unamaoni kuhusu makala uliyoisoma dondosha maoni yako hapa