Range Rover 2022 itakuwa ya aina yake. Japo kimuonekano siyo tofauti Sana na Range Rover za awali kuna maboresho ya taa za nyuma ambazo zitazitofautisha na Range Rover zilizotangulia.
Pia upande wa ndani kwa mara ya kwanza kutakuwa na viti saba.
Mnunuzi atachagua mwenyewe anataka Renji ya aina gani na bei kutofautiana ambayo yenye viti vinne itakuwa ghali zaid kwasababu ya luxury zaidi. Na kutakuwa ya viti vitano pia.
Related Article
0 Comments
Je unamaoni kuhusu makala uliyoisoma dondosha maoni yako hapa