Whatsapp waongeza Features Mpya katika toleo la jana tazama hapa


Mtandao wa WhatsApp ambao ni mali ya kampuni ya facebook, Yaja na Features Mpya katika mtandao huo.

Mabadiliko na maboresho yalifanywa na mtandao huo tarehe 28/09/2021 hivyo ilikuwa lazima kwa kila mtumiaji wa mtandao huo kuupdate ili kupata maboresho yaliyo fanywa.


Maboresho hayo yaliyo fanywa ni;

1- Mabadiliko kwenye kasi ya kucheza sauti (Audio) zilizo tumwa.

Hivyo mteja anaweza kuongeza kasi ya sauti kuchezwa hapa sauti itakuwa na kasi ya kawaida ikiwa na alama ×1 lakini pia kasi zingine ni ×1.5 hii itakimbiza kidogo yaani kasi ya kucheza sauti itaongeza, pia kasi ya mwisho ni ×2 hii itaongeza Zaidi kasi. Option hizo zote zipo mbele ya Kicheza sauti hivyo unaweza bonyeza.


2- maboresho mengine ni kuruhusu ujumbe picha, video, sauti au maandishi kutumwa mara moja na kujifuta.

Hapa itamuruhusu mtumaji ujumbe aweka mipangilio kwenye ujumbe pindi mpokeaji atakapo pokea ujumbe na kuusoma Hato wezi kuihifadhi bali utajifuta kiautomatiki.

Hivyo msomaji akisha usoma ujumbe huo utajifuta Papo kwa papo.

Lakini WhatsApp ameweka maelezo kuwa mpokeaji anaweza kupiga picha ujumbe huo Kabula haujajifuta, hivyo kuwa makini.


3- Pia imefanya maboresho mengine madogo madogo kama vile kubadili muonekano wa ndani pamoja na rangi.


Mtandao huo utaendelea kufanya maboresho zaidi.

0 Comments

Je unamaoni kuhusu makala uliyoisoma dondosha maoni yako hapa