Jinsi ya kutoa Frp lock katika simu za Tecno

 

As salaam aleikum ndugu mfuatiliai wangu Leo tutajifunza jinsi ya kutoa frp lock au google account lock kwenye simu ya Tecno Phantom au simu aina ya Tecno.


Kama wewe unawasha simu yako na unapata maneno kama haya hapa chini basi utakuwa umekumbana na tatizo la frp lock
This device was reset. To continue sign in with Google account that was previously synced on this device

JINSI YA KUTOA FRP LOCK AU GOOGLE ACCOUNT KWENYE TECNO PHANTOM NA SIMU ZINGINE AINA YA TECNO

Vigezo na Masharti



STEP 0

Washa hotspot kwenye simu yako nyingine Kisha washa Tecno Phantom yako ambayo ina frp lock. Usi connect kwanza na hotspot yako.. ishia kwenye screen inayo onekana hapo chini

STEP 1

Bonyeza sehemu iliyo andikwa add another network Kisha andika maneno yeyote yenye herufi nne kama inavyo onekana kwenye picha chini

STEP 2

Yashikilie hayo maneno manne uliyo andika kwa sekunde kama 4 kisha achia na utapata muonekano kama picha chini

STEP 3

Bonyeza kipengele kinachosema assist kisha utaona Google search imefunguka. Kwenye Google search andika neno settings na utapata muonekano kama picha chini

STEP 4

Bonyeza settings kisha utaona simu yako imefungua settings app. Hakikisha kipengele kinachosema unknown sources kipo on kama unavyoona katika picha kama hakipo on bonyeza katika mshale wa maandishi hayo kitakuwa on

STEP 5

Restart Simu yako kisha rudia tena kuanzia Step 1 hadi Step 3 Kisha andika neno Xender kwenye Google search na utapata muonekano kama picha chini

STEP 6

Bonyeza Xender halafu hakikisha unabonyeza allow permission zote mpaka utakapo pata muonekano kama picha chini

STEP 7

Bonyeza kipengele kilicho andikwa Allow Changing Settings. Baada ya hapo hakikisha una allow modify system settings kama inavyo onekana kwenye picha chini Kisha restart simu yako

STEP 8

Chukua simu yako nyingine ile ambayo unaitumia kutoa hotspot Kisha download Quick Shortcut app kwa kutumia link chini
https://mega.nz/#!QEZF2awA!8uyuQeEHzVQvb7O8k23l7Iu5Xw7vMwQO21l2L-MJEiM
Kisha download Google account manager kwa kutumia link chini
https://mega.nz/#!8BJ0jKbD!sUGyyejUY0mwmqjx8KDxn2AMhUrAlz0_sj7MUJOGtrg

Baada ya kumaliza kudownload, fungua Xender app. Chukua ile simu yako nyingine yenye frp lock Kisha fungua Xender app kama ulivyofanya kwenye Step 5.

STEP 9

Yatume hayo mafile mawili uliyo download kutoka kwenye simu nzima na kwenda kwenye simu yenye frp lock kwa kutumia Xender... Endapo utafanikiwa utapata muonekano kama picha chini

Anza kuinstall Google account manager kisha baada ya kumaliza bonyeza Done. Kisha install Quick Shortcut Maker na baada ya kumaliza bonyeza start na kisha scroll hadi utakapo onea Google Account Manager na utapata muonekano Kama picha chini

STEP 10

Ifungue Google Account Manager kwa kubonyeza kimshale kinachoelekea chini na utapata muonekano kama picha chini

STEP 11

Bonyeza kipengele cha kwanza kinachosema

Google Account Manager
Type email and password


Endapo utafanikiwa utapata muonekano kama picha chini

STEP 12

Washa hotspot kwenye simu nyingine ili simu yako yenye frp iji connect Kisha bonyeza kipengele kinachosema Try na utapata muonekano kama picha chini

STEP 13

Bonyeza vinukta vitatu vilivyopo juu kulia Kisha bonyeza Browser sign in na utapata muonekano kama picha chini kisha bonyeza ok

STEP 14

Baada ya kubonyeza ok. Utaambiwa uingize email yako. Mfano mimi nitaweka email yangu ya riyadibhai@gmail.com na nikapata muonekano kama picha chini. Hakikisha na wewe una weka email ambayo unaijua password yake kisha bonyeza next.

STEP 15

Baada ya hapo utaambiwa uingize password yako. Ingiza password yako halafu bonyeza next. Endapo password na email yako vipo sawa basi simu yako itarudia kuonyesha ile picha inayosema Try kama kwenye Step 12. Restart simu yako kisha connect to hotspot na utakuwa umefanikiwa kutoa frp lock. Haita kuuliza tena kuweka email account ambayo ilikuwa mwanzo.

kama unamaoni au ushauri wasilisha katika sanduku la maoni hapo chini sambaza link ya makala hii kwa washkaji nao wapate hiki kidogo tulichonacho. karibu tena katika makala zijazo.

1 Comments

Je unamaoni kuhusu makala uliyoisoma dondosha maoni yako hapa