SHORTCUT 40 MUHIMU KUZIJUA KWA WATUMIAJI WA MICROSOFT EXCEL

As Salaam aleikum ndugu zangu Wengi wetu tunatumia Excel katika matumizi ya kila siku ya maofisini, shuleni, majumbani au hata katika biashara zetu, lakini tunatumia muda kidogo katika kuhakikisha mahesabu tunayofanya hayaendi kombo.


Leo swahilitech tumeamua kukuletea shortcut 40 muhimu kwa mtumiaji wa Excel kuzifahamu ili kurahisisha matumizi ya software hiyo ya mahesabu kutoka Microsoft. Hebu tuzitupie jicho hapo chini,

F2 : Edit selected cell

F4 : Repeat last edit

F9 : Calculates all worksheets

F11 : New chart

ALT : Access the ribbon for formulas

ALT + = : Automatically SUM() selected

ALT + Enter : Start a new line in the same cell

ALT + o-c-a : Auto size columns

PG + UP/PG+DOWN : Go to next/previous worksheet

CTRL + ` : Display Formulas

CTRL + Backspace : Show active cell

CTRL + Shift + # : Change Date format with day, month and year.

CTRL + K : To insert Hyperlink.

CTRL+ Shift + $ : Applies the currency format to the selected cells.

CTRL + Shift + & : Applies border to cells

CTRL + B : Bold

CTRL + I : Italics

CTRL + U : Underline

CTRL + Shift + ~ : General style number

CTRL + Shift + $ : Currency style number

Related Article
CTRL + Shift + % : Percentage style Number

[soma : Jinsi ya kurudisha kazi iliyopotea katika microsoft office ]

CTRL + Shift + ^  : Scientific notation style

CTRL + Shift + # :  Date style

CTRL + Shift + @ : Time Style

CTRL + Shift +! : Number Style

CTRL + F12 : Open

CTRL + Spacebar : Select the entire column

CTRL + [ : Select all cells directly referenced by formulas in the selection

CTRL + A : Select All

CTRL + Shift + J : List Constants

CTRL + D : Copy equation down

CTRL + F : Find

CTRL + H : Find&Replace

CTRL + Right arrow : Move right

CTRL + Left arrow : Move left

CTRL + Up arrow : Move up

CTRL + Down arrow : Move down

CTRL + Enter : Same data in multiple cells

Shift + Spacebar : Select the entire row

Shift + F3 : Find Previous

Baadhi ya shortcut zitaonekana ngumu kutumia kwa mara ya kwanza, lakini baada ya muda utazizoea na utaona uzuri wa kutumia shortcuts katika programu hii nzuri ya mahesabu. Kama una maoni au ushauri usisite kutoa maoni yako katika sehemu ya maoni hapo chini.

0 Comments

Je unamaoni kuhusu makala uliyoisoma dondosha maoni yako hapa