As salaam aleikum ndugu msomaji wa ukumbi huu, naam leo katika kipengele cha Tubonge Movies nimekusogezea Tambala hili linalokwenda kwa jina la Song of the bandit Hii ni series ya kikorea ambayo imekuwa directed na Hwang Jun-hyeok
Series hii imekuwa set katika miaka ya 1920, kipindi ambacho kulikuwa na “Japanese Occupation” (hiki ni kipindi ambacho Korea ilikuwa inatawaliwa kama sehemu ya miliki ya Japan)
Sasa humu ndani tunakutana na kikundi cha watu ambao kwasababu tofauti tofauti wanajikuta wamefika kwenye eneo lijulikanalo kama Gando.
Hapo Gando ilikuwa ni sehemu ambayo palikuwa ni mpakani, so kukawa na muingiliano wa watu wengi kinoma, wachina, wakorea, wajapan na wakazi wengine kutoka kwenye mataifa mengine
Hawa wote hawakupenda namna uongozi wa Japan unavyowapelekesha, so wakaungana ili kumpindua mjapani kwenye uongozi, oya humo ndani sio poa mzigo una episodes 9 tu
Download mzigo wote huu hapa
Epsode ya 1
0 Comments
Je unamaoni kuhusu makala uliyoisoma dondosha maoni yako hapa