SMARTPHONE BORA 12 ZA BEI NAFUU KWA MWAKA 2017

As salaam aleikum mpendwa msomaji wa blog hii Je! Unakumbuka kipindi hicho Tanzania, ambapo matajiri tu ndiyo walinunua simu za mkononi za smartphones. Kununua line ya simu haikuwa shida kubwa, utata ulikuwa kwenye kununua Simu.
Kipindi hicho hali ilikuwa ngumu sana, na kama ningeambiwa ninaweza kupata simu kama Camon CX kwa TSH37,000 nisingeweza kuamini.
Kwa sisi ambao hatukuwa na uwezo wa kifedha, tulipitia shida nyingi kuona watu wanapiga picha za kisasa na simu zao za mkononi.
Miaka michache mbele. Mvuto wa simu za Android kutoka kwa kampuni kama vile Tecno, Itel na Gionee ulifanya smartphone ziuzwe kwa bei nafuu na wengi wakazinunua.
Kila kitu kinabadilika na simu za bajeti ndogo zinaendelea kuongeza kila uchao.
Hata hivyo, hii haimaanishi kuwa hakuna simu zingine kama iPhone X, iPhone 8 na Samsung S8 ambazo zitakufanya utikise kichwa unapoona bei yake.
Jambo zuri ni kwamba, kwa bajeti nzuri, unaweza kupata smartphone ya ukweli.
Nimekuandalia orodha ya Simu za Android za bei nafuu ambazo zinafaa kwa watumiaji wenye bajeti ndogo kama mimi mwenyewe.

Hapa chini ni orodha ya simu 12 na sifa zake

Angalia orodha ya Simu za Android za bei rahisi zinazopatikana Tanzania. Nyingi kati ya hizi zinauzwa chini ya Tsh500,000 ingawa chache zinaweza kuwa juu zaidi.

1. Tecno Camon CX – Bora chini ya 50,0000


Simu ya kwanza kwenye orodha yetu ni Tecno Camon CX. Simu hii ina kamera ya 16MP mbele na 16MP nyuma. Bila shaka, camon cx ni simu yenye kamera nzuri.
Ikiwa wewe ni aina ya watu wanaopenda kuchukua picha za mandhari na picha za ukweli, basi utaipenda CX.

Sifa Muhimu

  • SIM Type: Dual Micro SIM
  • 3G Network:Yes
  • 4G Network: Yes
  • Display:5-inch HD IPS Display, 1920 x 1080 pixels
  • Back Camera: 16 megapixels, auto-focus with Dual LED Flash
  • Front Camera: 16 megapixels with LED Flash
  • OS: Android 7 Nougat + HiOS 2.0 Custom UI
  • Processor Type: 25GHz Quad-Core MediaTek  MT6737 processor
  • Storage: 16 GB
  • RAM: 2 GB
  • External Storage: Yes, up to 128 GB
  • Fingerprint scanner: Yes
  • Battery: 3200mAh

2. Tecno Spark K9 Plus

Ishi kwenye ujana wako ukiwa na Tecno Spark K9 plus. Simu hii ya Android ya bei nafuu ni nzuri, ikiwa na kioo cha 5.5 inch kwajili ya kuonyesha vitu vizuri.
Spark K9 plus ni toleo tofauti na Tecno Spark K7. Chini ya 240,000 unaweza kununua simu hii mtandaoni.
Ina sifa nyingi, Simu hizi Watanzania wengi wanazimudu.

Sifa Muhimu

  • SIM Type: Dual Micro SIM
  • 3G Network:Yes
  • 4G Network: Yes
  • Display:5-inch HD IPS Display
  • Back Camera: 13 megapixels, auto-focus with LED Flash
  • Front Camera: 13 megapixels
  • OS: Android 7 Nougat + HiOS 2.0
  • Processor Type: 25GHz Quad-Core
  • RAM: 2 GB
  • External Storage: Yes, up to 128 GB
  • Fingerprint scanner: Yes
  • Battery: 3200mAh

3. Infinix S2 Pro




Unapata shida kupata simu ya bei nafuu ya Android inayoonyesha vizuri na yenye kamera ya kusisimua?
Basi Infinix S2 ni nzuri kwa mahitaji yako. Simu hii ina kamera ya mbele yenye megapixels 13 na kioo kinachoonyesha vizuri.
Ukiwa na pro S2, unaweza kupiga selfie kali bila ya kutumia camera stick.

Sifa Muhimu

  • SIM Type: Dual Micro SIM
  • 3G Network:Yes
  • 4G Network: Yes
  • Display:5-inch HD IPS Display, 1920 x 1080 pixels
  • Back Camera: 16 megapixels, auto-focus with Dual LED Flash
  • Front Camera: 16 megapixels with LED Flash
  • OS: Android 7 Nougat + XOS
  • Processor Type: 25GHz Quad-Core MediaTek  MT6737 processor
  • Storage: 16 GB
  • RAM: 2 GB
  • External Storage: Yes, up to 128 GB
  • Fingerprint scanner: Yes
  • Battery: 3200mAh

4. Gionee M5 Mini




Smartphone ndogo katika mfululizo huu. M5 ni kati ya smartphones za bei nafuu za Android ikiwa na betri ya 4,000mAh, kamera ya megapixels 8 nyuma / kamera ya megapixel 5 mbele na ina skrini ya kubwa wa 5 inch.
M5 mini ni tofauti na Gionee M5 na M5 plus ambazo zote zina bei rahisi. Mbali ya kuwa nafuu, simu hii inadumu.

Sifa Muhimu

  • SIM Type: Dual Micro SIM
  • 3G Network:Yes
  • 4G Network: Yes
  • Display:0-inch
  • Back Camera: 8 megapixels
  • Front Camera: 5 megapixels
  • OS: Android 6 Marshmallow
  • Processor Type: 3GHz
  • Storage: 16 GB
  • RAM: 2 GB
  • External Storage: Yes, up to 128 GB
  • Fingerprint scanner: No
  • Battery: 4000 mAh

5. Tecno L9 Plus

Nzuri kwa matumizi ya mitandao ya kijamii na kuangalia video, furahia kioo cha inchi 6.0 IPS LCD Touchscreen.
Ina Quad-core MediaTek processor, tegemea ufanyaji kazi wa haraka ukiwa na L9.
Imewezeshwa na betri ya 5000mAh . Unasahau kuhusu kuchaji simu yako kwa siku nzima, kwa sababu huwezi kuishiwa chaji kwa muda mfupi.

Sifa Muhimu

  • SIM Type: Dual Micro SIM
  • 3G Network:Yes
  • 4G Network: Yes
  • Display:0-inch
  • Back Camera: 13 megapixels
  • Front Camera: 5 megapixels
  • OS: Android 7 Nougat
  • Processor Type: 3GHz Quad-Core
  • Storage: 16 GB
  • RAM: 2 GB
  • External Storage: Yes, up to 128 GB
  • Fingerprint scanner: Yes
  • Battery: 4000 mAh

Simu bora za Android zinazouzwa chini ya 400,000 – 300,000

6. Infinix Hot 4 Lite

Infinix Moto 4 Lite ni toleo la chini la Infinix Hot 4. Simu hizi hazina utofauti sana kama kutolewa kwa Scanner ya Kidole (Fingerprint scanner) na 1 GB RAM.




Kama nilivyosema, simu hii ina sifa maalum. Ikiwa wewe ni mzee wa bajeti, basi, usihangaike kutafuta simu nyingine tena.

Sifa Muhimu

  • SIM Type: Dual Micro SIM
  • 3G Network: Yes
  • 4G Network: Yes
  • Display: 5.0-inch
  • Back Camera: 8 megapixels
  • Front Camera: 5 megapixels
  • OS: Android 7 Nougat
  • Processor Type: 1.3GHz
  • Storage: 16 GB
  • RAM: 1 GB
  • External Storage: Yes, up to 128 GB
  • Fingerprint scanner: No
  • Battery: 4000 mAh

7. Tecno L8




Simu nyingine, ni L8. Mbadala wa L9 Plus niliyoitaja mwanzoni. Kama vile plus L9, simu hii ina uhifadhi betri mkubwa- 5050mAh, tarajia muda mrefu wa matumizi.
Ikiwa wewe ni aina ya watu wanaopenda mtandao wa intaneti kama mimi, simu hii itakufaa kutumia mtandao wa 4G LTE.

Sifa Muhimu

  • SIM Type: Dual Micro SIM
  • 3G Network: Yes
  • 4G Network: Yes
  • Display: 5.5 – inch
  • Back Camera: 8 megapixels
  • Front Camera: 2 megapixels
  • OS: Android 6 Marshmallow
  • Processor Type: 1.3GHz
  • Storage: 16 GB
  • RAM: 2 GB
  • External Storage: Yes, up to 128 GB
  • Fingerprint scanner: No
  • Battery: 5050 mAh

8.Huawei P8 lite

Smartphone hii ina betri imara inayotunza chaji. Kila mtu anaitaji kufanya vitu mbalimbali kwa wakati mmoja kwenye smartphone yake. Battery lake halitoki kwenye simu na lina uwezi mkubwa wa Li-Po 2680 mAh.
Huawei P8 inakuja na camera yenye mega pixel 13 (4160 x 3120 pixels) zaidi ya hapo camera hiyo ina uwezo wa Autofocus, optical image stabilization, dual-LED (dual tone) flash.

Sifa Muhimu

  • SIM Type: Dual Micro SIM
  • 3G Network: Yes
  • 4G Network: Yes
  • Display: 5.5 – inch
  • Back Camera: 8 megapixels
  • Front Camera: 2 megapixels
  • OS: Android 6 Marshmallow
  • Processor Type: 1.3GHz
  • Storage: 16 GB
  • RAM: 3 GB
  • External Storage: Yes, up to 256 GB
  • Battery: 30000 mAh

9. Tecno W4


Related Article


Tecno W4 ni mrithi wa W3. Hii ni simu nzuri ambayo ina 2500mAh, kamera ya nyuma ya 13MP na kamera ya mbele ya 5MP.

Sifa Muhimu

  • SIM Type: Dual Micro SIM
  • 3G Network: Yes
  • 4G Network: Yes
  • Display: 5.0-inch
  • Back Camera: 13 megapixels
  • Front Camera: 5 megapixels
  • OS: Android 6 Marshmallow
  • Processor Type: 1.3GHz Quad – core MediaTek Chipset
  • Storage: 16 GB
  • RAM: 1 GB
  • External Storage: Yes, up to 64GB
  • Fingerprint scanner: No
  • Battery: 2500mAh

10. Infinix Hot 3


Sio vigumu kurekebisha makosa. Hot 3 ni mtangulizi wa Infinix Hot 4 . Unaweza kupata simu hii kwa bei ya chini ya Tsh 250000 mtandaoni. Angalia baadhi ya vipengele vya simu hii:




Sifa Muhimu

  • SIM Type: Dual Micro SIM
  • 3G Network: Yes
  • 4G Network: Yes
  • Display: 5.5-inch
  • Back Camera: 8 megapixels
  • Front Camera: 2 megapixels
  • OS: Android 6 marshmallow
  • Processor Type: 1.3GHz
  • Storage: 16 GB
  • RAM: 1 GB
  • External Storage: Yes, up to 128 GB
  • Fingerprint scanner: No
  • Battery: 3000mAh

Simu bora za Android zinazouzwa chini ya Tsh 200,000 – 100,000

11. Itel Snap S11




Sifa Muhimu

  • SIM Type: Dual Micro SIM
  • 3G Network: Yes
  • 4G Network: Yes
  • Display: 5.0-inch IPS display
  • Back Camera: 5 megapixels
  • Front Camera: 5 megapixels
  • OS: Android 6 Marshmallow
  • Processor Type: 1.3GHz
  • Storage: 16 GB
  • RAM: 1 GB
  • External Storage: Yes, up to 64GB
  • Fingerprint scanner: No
  • Battery: 2500mAh

12. Tecno P5


Sifa Muhimu

  • SIM Type: Dual Micro SIM
  • 3G Network: Yes
  • 4G Network: Yes
  • Display: 5.0-inch
  • Back Camera: 5 megapixels
  • Front Camera: 2 megapixels
  • OS: Android 5.1 Lollipop + Amigo 3.1
  • Processor Type: 1.3GHz
  • Storage: 8 GB
  • RAM: 1 GB
  • External Storage: Yes, up to 128GB
  • Fingerprint scanner: No
  • Battery: 2300mAh

13. Tecno Y2


Sifa Muhimu

  • SIM Type: Dual Micro SIM
  • 3G Network: Yes
  • 4G Network: Yes
  • Display: 5.0-inch
  • Back Camera: 5 megapixels
  • Front Camera: 2 megapixels
  • OS: Android
  • Processor Type: 1.3GHz
  • Storage: 16 GB
  • RAM: 512MB
  • External Storage: Yes, up to 64GB
  • Fingerprint scanner: No
  • Battery: 2800mAh
Unaweza kuaniachia maoni yako hapo chini ipi ni bora zaidi kwa upande wako au ipi ungetamani kuitumia au ndio unayoitumia sasa, mimi natumia tecno w4 wewe unatumia ipi niambie katika maoni hapo chini

0 Comments

Je unamaoni kuhusu makala uliyoisoma dondosha maoni yako hapa