lakini blogger wengi hawafahamu sheria ya seebait, seebait wametuwezesha sisi kupata pesa ya vocha bila mlolongo na masharti mengi kama ilivyo katika mitandao mingine kama adsense, jambo ambalo wewe hulijui ni kuwa seebait wanalipa publisher wao wakipata campeni tu ila nje ya hapo hakuna malipo unayoyapata wakati hakuna kampeni japokuwa matangazo yao yanaonekana katika blog yako
ukiona katika blog yako inaonekana picha kama hiyo hapo juu katika code za matangazo ya seebait fahamu ya kuwa hapo hakuna malipo unayoingiza ila ikibadilika na kuwa kama hivi au mfano wa hapa chini
basi hapo unahesabiwa mapato yao hivyo wakati wa kumuomba mungu usisahau kuwaombea na seebait wapate wadhamini ili na wewe unufaike.
Related Article
jambo lingine usililijua ni kuwa seebait hawakulipi kutokana na watembeleaji wako hapana kama uliwaza hivi umekosea seebait wanalipa kutoka na user wako ili kujua user ni nini bonyeza hapa https://analytics.google.com/ wenda hayo ndio machache kati ya mengi ambayo ulikuwa huyafahamu kuhusu seebait
sasa kazi ni kwako umeshafahamu kama upo tayari kujiunga na bonyeza hapa
0 Comments
Je unamaoni kuhusu makala uliyoisoma dondosha maoni yako hapa