JINSI YA KUWEKA WHATSAPP BUTTON SHARE KATIKA BLOG

Habari, baada ya kupata maombi kadhaa kutoka kwa wasomaji wangu kuhusu kuwajulisha kuweka button ya whatsapp share katika blog zao basi leo natimiza haja zenu japo kuwa nimechelewa kidogo hili ni kutokana na kuwa busy na shughuli za kujitafutia riziki za kila siku.

mfano wa button hiyo ni kama inavyoonekana pichani
ndio hizi code hapa chini ndio kwaajili ya whatsapp button share hivyo zicopy na kwenda kuzipaste katika html ya blog yako sehemu ambayo ungependa button hiyo ionekane


<script type="text/javascript" src="//s7.addthis.com/js/300/addthis_widget.js"></script>
<a class="addthis_button_whatsapp"></a>
lakini pia kama unahitaji kuweka button share zote kama hapo pichani tumia code hizi hapa chini

<div class='addthis_toolbox addthis_default_style '>
    <a class='addthis_button_facebook_like' fb:like:layout='button_count'/>
        <a class='addthis_button_facebook_share' fb:share:layout='button_count'/>
    <a class='addthis_button_facebook_send'/>
        <script src='//s7.addthis.com/js/300/addthis_widget.js' type='text/javascript'/>
<a class='addthis_button_whatsapp'/>
    <a class='addthis_button_tweet'/>
    <a class='addthis_button_google_plusone' g:plusone:size='inline'/>
    </div>
    
  <script src='//s7.addthis.com/js/300/addthis_widget.js' type='text/javascript'/>
Code zote ni kwa msaada wa website ya Addthis

5 Comments

  1. Vp kaka, ahsante kwa kuandika makala nzuri zenye faida hasa kwa bloggers wachanga,;
    Kaka naomba unifundishe jinsi ya kuweka tangazo mnato la adsense chini ya blog, mfano hili lililowekwa hapa www.djmwanga.com au http://bongolatestjob.blogspot.com/?m=1

    Samahn nimewaomba wamiliki ujuz lakin wamegoma

    ReplyDelete
    Replies
    1. Usijali ndugu yangu nipo hapa kwa kazi kama hizo, umeme umekatika kwasasa ila ukirudi nitakusaidia kukupa code za kuweka katika blog yako endelea kuwa nami

      Delete
    2. Haya kaka soma hapa https://www.swahilitech.net/2018/04/jinsi-ya-kuweka-tangazo-mnato-sticky.html?m=1

      Delete
  2. Replies
    1. unapaste sehemu ambayo unataka hizo batani zionekane, tumia edit html

      Delete

Je unamaoni kuhusu makala uliyoisoma dondosha maoni yako hapa