Habari ndugu zangu nilikuwa busy kidigo na mihangaiko ya hapa na pale so nimepata nafasi basi wacha tuendelee kupeana mawili matatu kama kawaida yetu

leo tucheat dream soccer hili game limekuwa na wachezaji wengi lakini wengi wao huwa wanakata tamaa mapema kutokana na kutokuwa na uvumilivu wa kuendelea kucheza na kujizolea coin kwa njia ya halali basi kama wewe ni miongoni mwao fursa hii hapa iba tu coin.

ili kuiba coin unatakiwa uwe na app inayoitwa Lucky Patcher hii app inakazi nyingi sana tulishawahi kuizungumzia kwenye chapisho hili  lakini leo tuangalie jinsi ya kuitumia kwenye game hili.

Ipakue app hiyo hapa Pakua Ukisha download app iyo ifungue then launch ile app ya game katika hiyo apps kisha nenda pale kwenye coin anza kuzi nunua 

Lakini pia zipo njia tofauti na hiyo mfano njia ya uhakika
-root simu
-install app za kucheat kama game guardian au sb game hacker
-fungua app ya kucheat halafu fungua game angalia coins zako halafu search hio idadi ya coin kwenye app ya kucheat yatakuja majibu, tumia kidogo coin search tena, rudia process hadi utapata result moja tu ibadili hio result weka 999999999 utapata coin za kutosha. 

kwa mara ya kwanza nenda youtube utaelewa zaidi jinsi ya kusearch. 

-pia njia hii sio coin tu unaweza badili almost anything mfano unaweza wajaza nguvu wachezaji wote wakawa na uwezo wa 100 kwenye speed, stamina, defending, attacking, shooting etc
Axact

Ibrahim Riyad Houmud

As Salaam Aleikum, I'm Ibrahim Riyadi Houmud, Founder and CEO of RiyadiBhai blog from Mororgoro, Tanzania. I started this blog as a Passion and it now empowering thousands of readers around the globe.Here I usually share news, Adsense tips, wordpress, gadget, widget, Themes, windows, etc.

Post A Comment:

0 comments:

Je unamaoni kuhusu makala uliyoisoma dondosha maoni yako hapa