Habari na karibu tena katika ukumbi huu maridhawa leo nitakusogezea ujuzi huu jinsi ya kubadilisha muonekano wa blog yako mwenyewe, lakini huwezi kubadili muonekano kma huna hata hiyo blog yenyewe soma hapa Jinsi ya kufungua blog hatua kwa hatua
ili kuweza kubadilisha muonekano wa blog yako hakikisha unakuwa umeshaanda template yako ambayo ungependa kuiweka katika blog yako zipo za kununua na zipo za bure kabisa ila riyadi bhai imekuwekea template zote za bulipia na za bure hapa blogger template zote utaweza kupakua bure kabisa.
baada ya kupakua template uliyoipenda utaikuta ipo katika file la zip/rar kwa hiyo unzip file lako kisha copy file la xml liweke sehemu itakayokupa urahisi wa kulipakia katika blog yako mara nyingi mimi huwa naweka katika desktop ya mashine yangu
kama umeshaandaa kila kitu sasa tuanze kubadilisha muonekano wa blog yako pendwa, ingia katika blog yako bonyeza sehemu iliyoandikwa Theme,
kisha bonyeza sehemu iliyoandikwa backup/restore
Itakuletea sehemu ya kupakia template yako upload file lile la xml ambalo nilikushauri ulipachike katika desktop yako ukishali attach bonyeza sehemu iliyoandikwa upload itachakata kwa muda mfupi si zaidi ya sekunde 20 kisha tembelea blog yako utaona mabadiliko katika muonekano wake mpya ambao umeuweka hivi punde.
Matumaini yangu umepata kuelewa jambo jipya sambaza makala hii kwa jamaa zetu wengine ili nao wapate kujifunza jambo jipya, endelea kuwa nami riyadi bhai kwa mafunzo mengine zaidi
JINSI YA KUBADILI MUONEKANO WA BLOGGER BLOG YAKO
Riyadi
April 07, 2017
1
Comments
Tags
Related Article

1 Comments
Here i have read your this blog and as well as other blog and you have done pretty impressive work on this blog, keep updating with new post on this blog...i always search about antivirus on the google and your blog also found on google.....webroot customer care | webroot customer care phone number
ReplyDeleteJe unamaoni kuhusu makala uliyoisoma dondosha maoni yako hapa