JINSI YA KUTUMIA MODEM KAMA WIFI HOTSPOT

Habari kisha habari tena ndugu zangu leo tena tupeane mawili matatu kuhusu kutumia modem kama wifi hotspot ya kwenye simu zetu, katika makala zangu za nyuma nilishawahi kuzungumzia kuhusu kutumia simu yako kama modem basi leo tuzungumzie kuhusu kutumia modem kama wifi hotspot [ soma : jinsi ya kutumia simu kama modem ]

Kwenye simu tunaweza kutengeneza wifi hotspot ili kutumia internet kwenye computer kwa kutumia wireless hotspots

Pia tunaweza kutumia modem zetu kama wifi hotspot ili tuweze kutumia internet kwenye simu zetu kwa kutumia modem zetu ziwe kama wifi hotspot kwa software inayoitwa mhotspot ambayo ni bure na size ndogo (1 mb) tofauti na nyingine kama conectify ambayo inauzwa na yenye size kubwa.

hatua

1. download software hapa 
Download
2. kisha install, jinsi ya ku-install angalia picha hapa chini






Kisha malizia kwa kuweka jina la wifi hotspot yako na password
mpaka kufikia hapo kila kitu kimekaa poa washa wifi yako ya kwenye simu kisha utaona jina ulilojaza katika mhotspot kisha connet itakuomba password weka ile uliyoijaza kwenye wifi hotspot yako sasa furahia

niachie maoni yako hapo chini usisahau kushare na marafiki

2 Comments

  1. IMEKATAA KU DOWNLOAD MKUU HBU FANYA MAKEKE TENA

    ReplyDelete
    Replies
    1. Sorry kaka maoni yako ndo nimeyaona leo kama bado utakuwa unahitaji nifahamishe

      Delete

Je unamaoni kuhusu makala uliyoisoma dondosha maoni yako hapa