Jinsi ya Kupakua (download) Apps za kulipia kutoka playstore Bure

Habari ndugu zangu leo tuangalie upande wa Playstore na app zake za kulipia kuna kipindi nilikuwa natafuta app moja makaini sana kutoka playsore inahusika na maswala ya muziki lakini ni yakulipia hivyo ilinibini niwe natumia Trial tu ambayo inanichukua wiki mbili peke yake kisha muda wake unaishia hapo lakini nikapata ufumbuzi wake unaweza kusoma hapa [Jinsi ya kuchakachua Poweramp Hatua kwa hatua]

kutoakana na hili imebidi tutafute njia ya kudumu sasa leo hatutachakachua mojamoja leo tunachakachua soko zima la playstore hakuna kununua tena apps za android labda upende mwenyewe nimekuwekea video hapa chini ambayo itakusaidia kukupa maelekezo hatua kwa hatua mpaka mwisho



0 Comments

Je unamaoni kuhusu makala uliyoisoma dondosha maoni yako hapa