Jinsi ya ku-Unlock modem bila kutumia Software

Habari ndugu zangu ni siku nyingine tena leo tunakutana kwaajili ya kupeana maujuzi yale mungu aliyotujaalia leo tuzungumzie hili juu ya ku-unlock  modem yoyote bila ya kutumia software

Kutokana na maoni na maswali ya wasomaji wangu mara kwa mara mulikuwa mnauliza zaidi kuhusu swala hili basi leo tumepata suluhisho la jambo leo letu hili ili kufanikiwa katika hili fuatana nami mpaka mwisho wa makala hii

Zamani ilikuwa ku-unlock Modem hadi udownload Software kwenye Pc yako kisha ndio uweze kugenerate MODEM UNLOCK CODE. Lakini kwa sasa imekuwa rahisi kwa sababu kuna tovuti kibao ambazo zinatoa MODEM UNLOCK CODE ambayo wewe unahitajika ni kujua IMEI ya MODEM tu.

Soma [Jinsi ya Ku Unlock modem ya Tigo Huawei 303H]

 

Hatua za ku-unlock Modem

1.Angalia IMEI ya modem yako kisha iandike chini au kwenye karatasi
2.Fungua link hii BOFYA HAPA
3.Baada ya kufungua hiyo link utaona sehemu ya iliyoachawa wazi hapo uweka IMEI ya Modem kisha utabofya kwenye kitufe cha CALCULATE

4.Baada ya ku-calcute utapata Unlock Code zako, Mfano: Unlock: 37661250 or NCK = 37663240


Hatua zinazofuata

1.Baada ya yote unatakiwa kutoa Sim card na Kuweka Sim Card tofauti kwa mfano kama ulikuwa unatumai ya Tigo unatakiwa uweke Airtel au zantel vodacom au halotel. n.k kisha chomeka kwenye PC yako .
2.Subiri kidogo , utaona Pop Up imekuja kisha itaku-request for Unlock Code, katika unlock Box Kisha Utaingiza Code ulizo Generate , mfano 37661250 alafu click kwenye OK.
3.Hongera!, Modem yako isha-unlockiwa hapo utaweza kutumia kwenye Sim Card Yoyote!

0 Comments

Je unamaoni kuhusu makala uliyoisoma dondosha maoni yako hapa