Salam ndugu msomaji wa blog hii leo nimekuwekea njia hizi kwa maandishi lakini kama unahitaji kupata maelekezo kwa njia ya video tazama hapa chini.
NJIA YA KWANZA
Ingia kwenye mtandao wa youtube hapa www.youtube.com kisha
tafuta video unayoita kuipakuwa ibofye kama unataka kuiangalia juu kabisa ya browser ambayo utakuwa umetumia utaona link kama inavyoonekana kwenye picha hapa chiniKwenye hiyo link ongeza doble s yaani SS mbili kama inavyoonekana kwenye picha hapa chini
Kisha bofya Inter kwenye computer yako itakuletea muonekano huu
Bofya neno download (pakua) nayoitaanza kudownload mpaka kufikia hapo utakuwa umeshafanikiwa kudownload video youtube
NJIA YA PILI
Njia ya pili pia ni rahisi mno kwanza fungua browser yako katika TAB mbili yaani funguawww.youtube.com kisha fungua www.youtubeinmp4.com kisha tafuta video unyataka kudownload youtube nakili (copy) link ya hiyo video kisha paste (pachika) kwenye youtube in mp4 kisha bofya neno download nayo itaanza kupakuwa video hiyo.
kufikia hapa utakuwa tayari umesha pata mwanga japo kwa uchache kuhusu kupakuwa video kutoka youtube, Kama hujaelewa niachie maoni yako hapo chini
0 Comments
Je unamaoni kuhusu makala uliyoisoma dondosha maoni yako hapa