Jinsi ya kutumia Whatsapp account moja kwa line mbili

Habari ya wewe msomaji wangu karibu tena natumai tupo pamoja kwa kila ujuzi tunaopelekeana hapa kwenye ukumbi wetu maridadi kabisa tuache story naomba twende kwenye lengo la uzi huu uzi huu ni kufuata hatua hizi ili ufurahie muda wako huu  ulioutumia kusomea hapa
Hatua ya kwanza kabisa fungua whatsapp uliyonayo kwenye sumu kwa sasa (official whatsapp)

Baada ya kufungua nenda setting na backup conversation 

ukishafanya hivyo un-install (ondoa) hiyo whatsapp 

Baada ya kuiondoa hiyo whatsapp rudi katika home menu ya simu yako na fungu File manager

Ukishafungua tafuta folder limeandikwa Whatsapp lihold ilo folder kwa ajili ya kurename ukifanikiwa (najua utafanikiwa) Liandike OGwhatsapp


Baada ya kumaliza hatua hiyo ingia google na download "Ogwhatsapp apk" na u-install na weka namba ile iliyokuwa kwenye whatsapp official uliyoondoa backup na hapo utakuwa umemaliza kwa namba ya kwanza

kama gbwhatsapp inakupa shida update hapa>>>
Jinsi ya ku-Update GBWhatsapp
 
kwa namba ya pili download upya sasa official whatsapp yako playstore na uweke namba ya pili unayotaka tofauti na ile ya kwanza.


Enjoy

0 Comments

Je unamaoni kuhusu makala uliyoisoma dondosha maoni yako hapa