Jinsi ya kutumia Internet kwenye PC,Laptop bila Modem

Je unayo Laptop,Tablet Pc,or Smartphone au vyote? Je unajua ukiwa na smartphone au tablet/Phablet huhitaji tena kununua modem ? Ndiyo,inawezekana.

Leo nitaeleza jinsi unavyoweza kufarahia internet kwenye PC yako,au vifaa vingine tajwa hapo juu bila kutumia modem au waya wowote .

HOW?
It is very simple just follow these steps:
1.Chukua smartphone yako au tablet/phablet then nenda kwenye "settings","Click "More..."
2.Click "Tethering and portable hotspot" then W-ifi -hotspot utaiona sehemu ya kuweka password yako.

3.Weka password yako au tumia iliyopo kwenye kifaa chako.Ukitaka kujua password ya kifaa chako tick/check kwenye kibox chenye maneno haya "Show Password"
4.Weka ON hapo kwenye 'Wifi-hotspot' then ENJOY!


NOTE:-Hapa unaweza kuunganisha devices/users hadi 5 au zaidi just click Wi-FI then ON. 
-Kama Unatumia Laptop hakikisha umeinstall Wifi-hotspot kwanza, it's FREE!


Say byee.. to Modems!

0 Comments

Je unamaoni kuhusu makala uliyoisoma dondosha maoni yako hapa