Hivi unajua unaweza kuondoa icloud kwenye simu yako ya iphone ?
Nadhani kwa haraka haraka utasema hapana ila ni jambo linalowezekana kabisa yaani Unajua unaweza kuondoa iclouds na kuifanya simu yako iwe mpya kabisa ukawa unatumia bila shida yoyote.
Zipo software nyingi za kuondoa icloud lakini sio zote ni salama kwako kwani upelekea kuharibu au kufungiwa kabisa simu yako.
Tumia software hii
PassFab activation unlocker ni software itakayokusaidia kuondoa Iclouds kwenye iphone yako haijalishi simu yako hiko locked kiasi gani kwani itaondoa lock bila shida yoyote ile.
Software hii inatambulika kihalali kabisa ikiwa umesahau password lock , iphone yako haiko activated, na kuondoa icloud kwenye kifaa chako.
Hii software inafanya kazi kuanzia ios ya 5s mpaka phone x ambayo ina support Ios ya 12.3 pamoja na Ios 14.
Pakua hiyo program ya PassFab Activation unlocker Kwenye kompyuta Yako
Bonyeza start kuanza Kazi hakikisha umechomeweka iphone Yako na Usb yake
Utaweza ku accept terms and conditions
Kisha itaweza kudownload jailbreak tool.
Ikimaliza itataka installation Kwenye simu yako
0 Comments
Je unamaoni kuhusu makala uliyoisoma dondosha maoni yako hapa