Kampuni ya Samsung wameachia updates ya os ya Android 12 ama UI 4 kuanzia tarehe 15 mwezi huu kwa simu za Samsung Galaxy S21 Ultra. Ila hii updates ilianzia huko Marekani, Ulaya na Korea Kusini kwenyewe.
Naona kadri siku zinavyoenda inasambaa kwa mataifa mengine. Leo mimi simu yangu imepata update kwenda UI 4. Wale wenye simu za S21 mnaweza kuangalia updates kama zimefika kwenu.
0 Comments
Je unamaoni kuhusu makala uliyoisoma dondosha maoni yako hapa