#COVID19 Unapohisi dalili za Covid-19 nenda kituo cha afya kupima usijitibu

 UNAPOHISI DALILI YA #COVID19 NENDA KITUO CHA AFYA USIJITIBU



Wataalamu wa Afya wanashauri pindi unapohisi dalili za Corona nenda kituo cha afya ukapime badala ya kuanza kunywa dawa na kujaribu kujitibu.


Inaelezwa kuwa miongoni wa dalili hizo ni pamoja na kupata shida wakati wa kupumua, kupata maumivu ya kifua, kushindwa kulala au kuamka na kukosa kusikia harufu n.k.


Zaidi ya hayo, wataalamu wanashauri kuwa upatapo dalili hatarishi unapaswa uchukue tahadhari ya kuwalinda wengine kwa kukaa nao mbali nao, kuvaa barakoa na kuziba mdomo pindi unapokohoa au kupiga chafya ili usiwaambukize.

===


If you have symptoms of COVID-19, get tested. While waiting for test results pdf icon[224 KB, 2 pages], you stay away from others, including staying apart from those living in your household.


You can visit your state, tribal, localexternal icon, and territorial health department’s website to look for the latest local information on testing sites.


head side mask light icon

If you are sick, wear a mask over your nose and mouth


You should wear a mask over your nose and mouth if you must be around other people or animals, including pets (even at home).


You don’t need to wear the mask if you are alone. If you can’t put on a mask (because of trouble breathing, for example), cover your coughs and sneezes in some other way. Try to stay at least 6 feet away from other people. This will help protect the people around you.


Masks should not be placed on young children under age 2 years, anyone who has trouble breathing, or anyone who is not able to remove the mask without help.


Note: During the COVID-19 pandemic, medical grade facemasks are reserved for healthcare workers and some first responders.

box tissue light icon.


Cover your coughs and sneezes

0 Comments

Je unamaoni kuhusu makala uliyoisoma dondosha maoni yako hapa