As salaam aleikum Mswahili mwenzangu matumaini yangu uko poa kama mimi Alhamdulillah, leo tuangalie jinsi ya kubadilisha Version ya simu yako ya android wenda ukajiuliza kwanini nibadilishe Version ya android yangu naam inabidi tubadilishe kwasababu kuna app za muhimu wakati mwingine tunazihitaji lakini kutokana na version za simu zetu kuwa ni toleo la zamani tujikuta tunakosa uhondo huo. twende kwenye mada moja kwa moja tusipoteze muda sana, kama utakuwa na swali utaniuliza katika sanduku la maoni
Hatua ya kwanza download app inaitwa Root browers kutoka playstor nenda moja kwa moja na link hiyo hapa Download.
Baada ya kuifungua utaona files zimetokea nyingi hapo teremka chini na tafuta /angalia file lililoandikwa *System*
Fungua humo na teremka chini utaona kiji file kimeandikwa Build.prop
Angalia hicho maana vipo viwili kengine kanaitwa Build.prop.bak
Bonyeza Build.prop kisha itafunguka na options tano hapo angalia palipo andikwa RB text Editor
Ukisha bonyeza hapo itafunguka na utaona detail zote za simu sasa hapo utafanya chaguo lako kama unataka kubadili builder number, manufactures, na mengineyo kwa version utashuka chini
kisha utaangalia palipo andikwa ro.build.version.release=[hapa itakuwepo version original ya simu kisha utaifuta na kuweka mpya]
NOTE; Hakikisha unaweka version isiyo zidi 7 usidhidishe zaidi ya hapo ili kuweka simu yako katika Latest isiwe imepitiliza italeta shida
kisha ukimaliza kufanya mabadiliko hayo utasevu kwa kubonyeza icon ya sevu iliyopo juu kabisa mkono wa kulia kialama chake kipo kama mfano wa hichi ki emoj 🏥
kisha restart simu yako na nenda kaanglie version mpya uliyoweka katika settings kisha about phone
na utaweza kudownload app bila kikomo kwa kutokuwa na kizuizi cha version
Kuna apps ambazo zinarun kwenye version latest tu, kwahiyo ukiweka version latest apps latest zitakubali.
Kwa mfano Recharge king haiwezi kurun kwenye W3 tecno ila inarun kwenye k7 na k9 lakini ukibadilisha version kwenye w3 na kuweka 7 itarun bila shida.
Imeandikwa na Riyadi Bhai Sambaza makala kama ilivyo kama unahitaji kukopi makala hii soma hapa Copyright Policy Zingatia sheria za Blog hii Ahsante kwa Kutembelea Swahili Tech
JINSI YA KUBADILI VERSION YA SIMU YAKO ROOT REQUIRED
Riyadi
April 06, 2018
6
Comments
Related Article
6 Comments
Nimeipenda sana elim yako kaka mkubwa. Endelea kutupa darasa zaid na zaid.
ReplyDeletePamoja sana mkuu endelea kuwa nasi
Deletekwenye kusave version nimejaribu naambiwa saving failed sijaelewa kwanini?
ReplyDeleteNakubali
ReplyDeleteHilo file silioni
ReplyDeletelipi
DeleteJe unamaoni kuhusu makala uliyoisoma dondosha maoni yako hapa