Ifahamu simu ya Tecno CamonC9

Model:C9
Operating System: HIOS V1.0: Based on Android 6.0
Network: GPRS/EDGE//WCDMA/LTE
Band: GPRS/EDGE: 900/1800
WCDMA: 900/2100
LTE: Band3/7/20
Dimension: 153*76.4*10.35mm
Display: 5.5″ FHD IPS Touchscreen
Resolution: FHD(1920*1080)
Related Article
Processor: Octa-core Processor
Camera: 13.0 MP AF Back Camera with Flashlight
13.0 MP Front Camera with Flashlight
Memory: 16 GB ROM + 2 GB RAM Expandable Micro SD, up to 128GB
Connectivity: GPS, Wi-Fi, BT
Battery Capacity: 3000mAh
Sensor: G-sensor, Light Sensor, Proximity Sensor
Ikiwa imebeba lenzi 6 za kamera ya nyuma,lenzi moja zaidi ya Camon C8,tecno C9 inakuzalishia picha yenye ubora zaidi ya ufikiriavyo.Kwa usalama wa simu yako tecno c9 inakuja na “Biometric iris scanner”,hii ni njia ya kiusalama ya kufungua “unlock” simu yako kwa ku-‘scan’ jicho lako.Zaidi ya yote Camon C9 imeambatanishwa na “octa-core” ikiwa na RAM ya 2GB,hii yote kukuwezesha kutumia katika simu yako “apps” nyingi uwezavyo bila kukwama.

0 Comments

Je unamaoni kuhusu makala uliyoisoma dondosha maoni yako hapa