NJIA RAHISI YA KU’ROOT’ ANDROID YAKO BILA KUTUMIA KOMPYUTA

“Kingo Root” Ni moja ya Application Nzuri  zilizo Rahisisha Suala zima la Ku’root’ Android Smartphones, Bila hata ya Kutumia  PC.
Kabla ya Kuanza Mchakato Huu hakikisha Simu yako ina vitu vifuatavyo

  • Simu iwe Imewashwa
  • Iwe na Chaji Angalau kuanzia Asilimia 50%
  • Internet Connection, (WiFi Ikiwezekana)
  • Ruhusu Uwekwaji wa Apps Kutoka Nje ya Play Store (Yaani unknown sources). (Nenda Settings>>>Security>>>Unknown Sources> weka Tiki)

Namna ya Ku’Root’ Android kwa  Kutumia ‘Kingo Root’



 DownLoad Itaanza Yenyewe, Mara baada ya Ku’click’ Download, Kama Chrome Ikikuonya





Bofya ‘OK‘ Kuendelea.








Fungua Kingo Root APP na Uanze mchakato wa Ku’Root‘  




Subiri kwa Muda Fulani Mpaka Matokeo Yatakapo Onekana kwenye kioo chako.



  • Umefanikiwa Ku’Root’ Au ‘Imeshindikana’
Ukiwa Unatumia njia Hii ya Ku’Root‘ kwa kutumia Kingo Root APK Inashauriwa Kufanya Zaidi ya mara Moja mchakato Huu, ili Namna mbalimbali za Ku’Root’ ziweze kuwekwa katika APP yako Japo itatumika Namna Moja tu ya Ku’Root’ Simu yako.
Ikiwa Umefanikisha Utaletewa Ujumbe “SUCCEEDED” Kama inavyoonekana katika Picha.

KIDOKEZO MUHIMU: ‘ROOT AT YOUR OWN RISK’  RIYADI BHAI HAITAHUSIKA IKITOKEA TATIZO LOLOTE LITAKALOPELEKEA KUHARIBU KIFAA CHAKO

1 Comments

Je unamaoni kuhusu makala uliyoisoma dondosha maoni yako hapa