JINSI YA KUTUMIA AKAUNTI TATU ZA INSTAGRAM KWENYE SIMU MOJA

Habari ndugu yangu karibu ni wakati mwingine tena katika mchakato wa kuambukizana maujanja kuhusu teknolojia leo nimeonelea tutatue na hili la instagram baada ya kufanikisha la whatsapp unaweza kusoma hapa [ Jinsi ya kutumia whatsapp mbili kwenye simu moja

Wengi wenye akaunti zaidi ya moja ya insta huwa tunapata tabu lazima ulog out ili uweze kutumia akaunti yako ya pili, leo nitakuelekeza jinsi ya kutumia akaunti zaidi ya moja kwenye simu yako bila kulog out akaunti nyingine. Soma na hii pia [Jinsi ya kutumia whatsapp tatu kwenye simu moja]

Unachotakiwa kufanya
STEP 1

Sasa kama unataka kutumia instagram tatu kwenye simu moja unachotakiwa kufanya ni kudownload Instwogram app Hapa chini kisha install kwenye simu yako.



STEP 2

Ifungue instwogram app kisha login kwa kutumia account yako nyingine.



Mpaka hapo utakuwa umefanikiwa kutumia account mbili za instagram kwenye simu moja.
Ili kuongeza akaunti nyingine ya tatu download OGinsta+ Hapa kisha install kwenye simu yako.
ifungue OGinsta+ kisha login kwa kutumia account yako ya tatu.

mpaka hapo utakuwa umefanikiwa kutumia account tatu za instagram kwenye simu moja
Kwa wale wanaopenda blog Hii na wanataka tuendele zaidi basi usiache kutufwata kwenye Mitandao ya kijamii kupitia Riyadibhai

0 Comments

Je unamaoni kuhusu makala uliyoisoma dondosha maoni yako hapa