Jinsi ya kuangalia Online TV kutumia Simu, Pc/Laptop yako
RiyadiOctober 24, 20160
Comments
Habari za wakati karibu tena leo tuangazie kuhusu kutazama on-line tv kupitia vifaa vyetu kama simu laptop au PC leo nitakuwekea channel 4 hii ni njia rahisikuangalia channel mbalimbali za TV kupitia Computer yako ukiwa na internet, Njia hii inatumia low bandwith na unaweza ku stream HD tv hata kwa speed ya 256kbs.
Hatua za kufuata ili kukamilisha lengo
Install vlc media kwenye pc yako au kama tayari ulishafanya basi endelea hatua ya pili
download magnetic code Hapana u isave kwenye PC yako, Kisha bonyeza Right-click na ufungue kwa kutumia vlc
Mpaka kufikia hapo utaweza kutazama channel hizo nne bila chenga wala kulipia muhimu uwe na bando la internet
0
Comments
Je unamaoni kuhusu makala uliyoisoma dondosha maoni yako hapa
0 Comments
Je unamaoni kuhusu makala uliyoisoma dondosha maoni yako hapa