Jinsi ya KU-ROOT simu ya android

UTANGULIZI
kabla ya kuanza kuroot simu yako kutabatilisha warranty na muuzaji wako aliyekuuzia , pi root at your  own risk i will not be hold responsible for any negative outcomes




ANDROID ROOTING NI NINI?
Ni mchakato wa kuruhusu watumiaji wa smartphones, Tablet na vifaa vingine vinavyotumia Oparetion sysetm ya android kupata uwezo  kukiendesha kifaa au simu ya android katika kiwango cha hali ya juu
Rooting mara nyingi hutumika kwa lengo la kuondo overcome limitations ambazo zimewekwa na watengenezaji wa vifaa vya android 

FAIDA ZA KU-ROOT
Rooting ina faida nyingi kama vile kubadiri ROOM, Kuinstall  system  installed app ku install apps ambazo zinahitaji root  access kama vile TITANIUM BACK UP

JINSI YA KUROOT
Ku root android devices kunatofautiana kati ya simu na simu , hapa nitakupatia njia za ku root baadhi ya simu na baadhi ya vision za android

1) Huawei Idoes U8150
  • wengi wetu tuna miliki simu aina hii HUAWEI IDOES U8150 simu ya aina hii ni rahisi sana fuata utaratibu huu

Kisha zima simu yako kisha iwashe utakuta app inayoitwa SuperUser imeongezeka mpaka hapo utakuwa umesha root simu yako ya HUAWEI IDOES U8150

Natumai tutakuwa tumepata mwanga japo kwa uchache kuhusu Rooting kwenye simu zetu za android

0 Comments

Je unamaoni kuhusu makala uliyoisoma dondosha maoni yako hapa