kwanza fahamu jambo muhimu kuwa adsense wanawatumia pesa zao wateja wake kuanzia dola 100, pia ili kujua jinsi ya kurekebisha mambo mpaka pesa yako itumwe kwenye bank akaunti yako lazima ufikishe dola 10 na google watakutumia (PIN) Kupitia sanduku lako la barua ulilojaza wakati unajiunga nao,
mfano wa PIN utakayotumiwa na google |
Hapo katika setiing kuna vipengele vingi ila sisi tutazungumzia kuhusu kujaza data zako za bank basi, bonyeza new form of payment kisha chagua wire transfer to bank account kisha jaza form utakayopewa ila kabla ya kujaza lazima ujue SWIFF za bank yako kwa hiyo lazima uwasiliane na bank yako ila kama unatumia equity swif zao ni hizi ( $ : EQBLTZTZ, na kwa pesa tofauti na $ ni hii, EQBLKENA)
Picha hii kwa hisani ya ndugu yetu Harsh kumar |
baada ya kujaza form yao hiyo baasi utakuwa umeshamaliza kila kitu pindi pesa yako itakapotumwa utajulishwa kupitia email yako na kama unatumia sim banking utajulishwa na sms kutoka bank
Share na marafiki kama makala hii itakuwa imekusaidia au kama umeipenda Riyadi Bhai hapa fanya kuniachia maoni yako ili nikusaidie zaidi unaweza kunitumia maombi yako kuwa kitu gani nikifafanue kuhusu Adsense kupitia riyadibhai@gmail.com
9 Comments
shukrani sana mkuu
ReplyDeleteKaribu mkuu endelea kuwa nasi kwa maujuzi zaidi
ReplyDeleteOk somo limekaa vzr ila ombi langu ungetoa somo namna ya kujiunga na adsence
ReplyDeletenaam mkuu nimetekeleza leo nimekamilisha jinsi ya kujiunga na adsense
ReplyDeleteAhsante kiongozi nimeipata makala na nimeshaifanyia kaz
Deleteahsante kwa sapoti yako endelea kuwa nami na kama unaombi lolote au makala unayoihitaji usisite kunijulisha
ReplyDeleteUbarikiwe sana mkuu
ReplyDeleteSomo zuri sana
Shukrani kwa kutembelea blog hii.
DeleteBinafsi nimeelewa but ninachangamoto ,wakati naanza hii mishe AdWords walisimamisha ku-run adword kwenye blog yangu wakinitaka niapply malipo maana nilikuwa nimefikisha dollars 50 ,nilipoomba malipo akaunti ikaniambia (payment declined) hizo hela nimebaki kuziangalia kwenye akaunti ya adword naomba mwenye uelewa tuwasiliane wasap 0686945286
ReplyDeleteJe unamaoni kuhusu makala uliyoisoma dondosha maoni yako hapa