1. UJUZI WA LUGHA JAPO KIDOGO
Hili ni jambo bora zaidi maana hawa jamaa kina DJ wetu duh ni full shida unakuta mtu kasema Softdrink yeye anakutafsiria kuwa ni maji moto sasa hii inakuwa ni hatari sana kabla hujafikiria kuwa mfasiri wa hizi movie hakikisha unafahamu unachotusimulia, pia kabla ya kuitafsiri movie hakikisha umeitazama na kuielewa vema
2. hakikisha unakuwa na vifaa hivi
Tafuta GPU yenye CPU nzuri na RAM japo hata 4GB
Microphone japo ya Tsh 15000
pia Screen Recorder kama Ice Cream, Camtasia au yeyote utayoona ni nzuri zaidi kwa upande wako
3. jinsi ya kutafsiri sasa
Chomeka microphone yako katika mashine kisha install software yako ya screen recorder kisha fungua movie unayotaka kuitafsiri kupitia VLC au player yeyote kisha fungua software yako kisha mark au elekesha nafasi unayotaka kurecord kisha anza kurekodi wakati imeanza kurekodi basi anza kazi yako ya kutafsiri microphone kwa masaada mkubwa wa software yako sauti itabakia katika movie ukimaliza stopisha na utaisave kisha convert katika format unayoihitaji tayari kwa kuangalia movie yako katika lugha yako uliyoitumia.
sambaza makala hii kwa marafiki nao wafahamu ishu hii pia niachie maoni yako hapo chini, kama unahitaji kutumia makala hii katika mtandao wako soma hapa kabla ya kukopi https://riyadibhai.blogspot.com/p/about.html
2 Comments
Wakiwa wanaongea kwa kihindi mi ntajuaje ili niongee kiswahili,,au Kuna program maalum inayobadilisha kihindi kwenda kiswahili
ReplyDeletekuna movie zimewekwa subtitle ya kiingereza ivo wewe utakuwa unatafsiri kiingereza kwenda kiswahili
DeleteJe unamaoni kuhusu makala uliyoisoma dondosha maoni yako hapa